YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Wewe mzee acha maneno mengi nifunze jinsi ya kuhack banahahahahahaahh
we ulizoea lile game la zamani la kuhack! hapa inabidi ujifunze vitu vingi kama vile skills, kupiga kona, penati, faulu na kupiga chenga...
pia lazima ujifunze staili ya kucheza mpira kwa mfano mimi hua napenda sana mpira wa pasi nyingi hadi mpinzani ana quite mwenyewe game... [emoji23]
Lakini kitu cha mwisho jitahidi usajili wachezaji wenye rate ya 80+....
cha mwisho kama hujanielewa zaidi nipe code ujifunze mautundu kwa vitendo