tie ngapi upo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaah kweli asee mi jana nimepigwa 4 mkuu
huyo bado hajakutana na kibano sasa 4 tu [emoji1787][emoji1787]Wahuni wanabonda sio pow
4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.tie ngapi upo
Kama tier 6 wanakutoa jasho utaona umuhimu wa kuwa na wachezaji wa 90 plus.ni kweli hua naishia tie 6 ila najipanga bado ntatoboa tu
Huyu nadhani yupo kwenye 10 na huko hajaingia bado kwenye hizi za kibabehuyo bado hajakutana na kibano sasa 4 tu [emoji1787][emoji1787]
Mkuu wewe bado sana tena sana.... yaani nazani upo tie 11 huko [emoji1787]4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.
Mimi kwangu highest ni 82 yupo mmoja wengine ni 53-59 range hapo.
Of course nisingeweza kutoboa
Kuanzia tier 6 kama wachezaji wako hawana atleast 85+ kwakweli hutoboi4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.
Mimi kwangu highest ni 82 yupo mmoja wengine ni 53-59 range hapo.
Of course nisingeweza kutoboa
Hili sipingi jana nimenyooshwa sana asee.Kuanzia tier 6 kama wachezaji wako hawana atleast 85+ kwakweli hutoboi
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kwa hizo rate za 53 kipondo kidogo kama ungecheza na mimi ni 8 hadi 10 bila [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima ungekwiti game4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.
Mimi kwangu highest ni 82 yupo mmoja wengine ni 53-59 range hapo.
Of course nisingeweza kutoboa
Mkuu wachezaji wazuri ni 490 gems asee mi ntawapataje yena hapo ni mmoja tu.Mkuu wewe bado sana tena sana.... yaani nazani upo tie 11 huko [emoji1787]
Hapo kwa ushauri wangu hebu cheza kwanza game nyingi update uwanja walau upande daraja hadi legendary league maana kufika huko si mchezo inaweza chukua hadi wiki nzima na ununue wachezaji wengi wazuri angalia matangazo kwa wingi...
Hili online huwezi kuhack aseee..wachezaji wangu wana 90+Hili sipingi jana nimenyooshwa sana asee.
Hivi mkuu ww unajua ku hack.?
Kwani wachezaji wako wana rate ngapi
angalia sana matangazo upate coin sio lazima utumie gemsMkuu wachezaji wazuri ni 490 gems asee mi ntawapataje yena hapo ni mmoja tu.
Nina nusu ya hiyo hela. Tu. Na nipo dibusion 3 huku
Mmh mbona huku wananilazimisha nitumie gems. 🤔angalia sana matangazo upate coin sio lazima utumie gems
Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako
Alipie tu. Kama kuangalia matangazo ni shidaangalia sana matangazo upate coin sio lazima utumie gems
🤣🤣🤣🤣 Au sio. Semeni mmewezaje sasa kupata wachezaji wazuri kirahisiyaani kwa hizo rate za 53 kipondo kidogo kama ungecheza na mimi ni 8 hadi 10 bila [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima ungekwiti game
hapana hata kwa coin unanunua fresh tu, we kikubwa angalia sana matangazo halafu cha kwanza achana na kuwaza kununua wachezaji panua uwanja ili upate coin nyingi na pia uwe una claim zawadiMmh mbona huku wananilazimisha nitumie gems. [emoji848]
Duuuh asee. Umefikaje hapo mkuu.Natoa tiba kwa anae sumbuliwa na maradhiView attachment 2688638
Ok sawa acha niendelee kupanua uwanja.hapana hata kwa coin unanunua fresh tu, we kikubwa angalia sana matangazo halafu cha kwanza achana na kuwaza kununua wachezaji panua uwanja ili upate coin nyingi na pia uwe una claim zawadi