Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

ni kweli hua naishia tie 6 ila najipanga bado ntatoboa tu
Kama tier 6 wanakutoa jasho utaona umuhimu wa kuwa na wachezaji wa 90 plus.

Mimi huwa na kikosi cha live cha 90 kikishajaa huwa natengeneza kikosi changu cha watu wa blue tuu kwa ajili ya ligi... Ili nisilichoke gemu
 
4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.

Mimi kwangu highest ni 82 yupo mmoja wengine ni 53-59 range hapo.

Of course nisingeweza kutoboa
Mkuu wewe bado sana tena sana.... yaani nazani upo tie 11 huko [emoji1787]

Hapo kwa ushauri wangu hebu cheza kwanza game nyingi update uwanja walau upande daraja hadi legendary league maana kufika huko si mchezo inaweza chukua hadi wiki nzima na ununue wachezaji wengi wazuri angalia matangazo kwa wingi...
 
yaani kwa hizo rate za 53 kipondo kidogo kama ungecheza na mimi ni 8 hadi 10 bila [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima ungekwiti game
 
Mkuu wachezaji wazuri ni 490 gems asee mi ntawapataje yena hapo ni mmoja tu.

Nina nusu ya hiyo hela. Tu. Na nipo dibusion 3 huku
 
Hili online huwezi kuhack aseee..wachezaji wangu wana 90+

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako

Embu cheki wangu walivyoviroja 😭
Screenshot_20230715-102828.png
 
yaani kwa hizo rate za 53 kipondo kidogo kama ungecheza na mimi ni 8 hadi 10 bila [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima ungekwiti game
🤣🤣🤣🤣 Au sio. Semeni mmewezaje sasa kupata wachezaji wazuri kirahisi

Mi siwezi huku
 
Mmh mbona huku wananilazimisha nitumie gems. [emoji848]
hapana hata kwa coin unanunua fresh tu, we kikubwa angalia sana matangazo halafu cha kwanza achana na kuwaza kununua wachezaji panua uwanja ili upate coin nyingi na pia uwe una claim zawadi
 
Ok sawa acha niendelee kupanua uwanja.
 
Back
Top Bottom