Nmejenga timu kwa mwaka mzimaDuuuh asee. Umefikaje hapo mkuu.
Nyie watu nawaonea wivu kinoma. [emoji2959]
sasa hizo coin zote kwann usinunue mchezajiUmefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako
Embu cheki wangu walivyoviroja [emoji24]View attachment 2688637
Dakika ya 56 mtu kala goli 10 akakimbiaNatoa tiba kwa anae sumbuliwa na maradhiView attachment 2688638
Mi sitaki wachezaji wa 60 kushuka nataka wa 85+ huko ambayo ina demanda niwe na gems nyingi ambazo sinasasa hizo coin zote kwann usinunue mchezaji
Nilipotoka ni mbali mkuu..ila cha msingi kusanya coins kwa nguvu ili upate uwanja mkubwa ili upate fedha za kuwanunua wachezaji wakubwa kisha ukishapata kikosi chako ndio unaanza taratibu kuwaongeza, inachukua muda kidogo vinginevyo Nunua tu hayo macoins.Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako
Embu cheki wangu walivyoviroja [emoji24]View attachment 2688637
Ulikuwa una cheza kila siku au ulikuwa unagusia gusiaNmejenga timu kwa mwaka mzima
Halafu kuongeza mchezaji mbona haiwezekani unakuta yy anaongezeka kwa mechi moja tu. Mechi zingine anarudi hali yake.Nilipotoka ni mbali mkuu..ila cha msingi kusanya coins kwa nguvu ili upate uwanja mkubwa ili upate fedha za kuwanunua wachezaji wakubwa kisha ukishapata kikosi chako ndio unaanza taratibu kuwaongeza, inachukua muda kidogo vinginevyo Nunua tu hayo macoins.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuna namna nyingine ya kuongeza.. ila kwa sasa kusanya kwanza coin mkuuHalafu kuongeza mchezaji mbona haiwezekani unakuta yy anaongezeka kwa mechi moja tu. Mechi zingine anarudi hali yake.
Ile permanent upgrade haipo kabisa
Sawa asante. Shukran kwa ushauriHapana kuna namna nyingine ya kuongeza.. ila kwa sasa kusanya kwanza coin mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo hivo kuunda kikosi haiwezi kua siku moja tu.. mfano mayele hawezi kutoka yanga (tufanye kwa sasa ana rate ya 86 kibongobongo) halafu aende pamba ya mwanza ligi daraja la pili hawezi kukubali....Mi sitaki wachezaji wa 60 kushuka nataka wa 85+ huko ambayo ina demanda niwe na gems nyingi ambazo sina
Ooh sawasawa. Ila point of correction mi nina nyota 2 asee.ipo hivo kuunda kikosi haiwezi kua siku moja tu.. mfano mayele hawezi kutoka yanga (tufanye kwa sasa ana rate ya 86 kibongobongo) halafu aende pamba ya mwanza ligi daraja la pili hawezi kukubali....
so ili uwavutie wachezaji wazuri lazima upande daraja kwanza na pili uboreshe miundombinu mfano viwanja n.k
Halafu sahivi unatakiwa usajili wachezaji wenye 70+ wapo wazuri tu, hao ndo watafanya timu yako ipande rates mfano sahivi labda una nyota tatu ukiwaleta hao utaona unaoanda hadi nyota nne hapo wachezaji wazuri wataanza kushawishika....
tumia scout akusajilie, tumia yule wa coin 500... nenda kwenye transfer pale utawaona
ngoja nikuoe challenge, mwenyewe nimebadili simu ngoja nidownload upya game halafu ntakua naunda kikosi mdogo mdogo baada ya siku tatu tukutane hapa mi ntakua na wachezaji wazuri kinyama na ntakua nagawa dozi [emoji23][emoji23]Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako
Embu cheki wangu walivyoviroja [emoji24]View attachment 2688637
Duuh au sio.ngoja nikuoe challenge, mwenyewe nimebadili simu ngoja nidownload upya game halafu ntakua naunda kikosi mdogo mdogo baada ya siku tatu tukutane hapa mi ntakua na wachezaji wazuri kinyama na ntakua nagawa dozi [emoji23][emoji23]
usijali na mi ndo naanza ili tupeane kampani, sajili wachezaji wenye 70 kwa sasaOoh sawasawa. Ila point of correction mi nina nyota 2 asee.
Ila wacha nizingatie hilo
🖐️🖐️usijali na mi ndo naanza ili tupeane kampani, sajili wachezaji wenye 70 kwa sasa
dah nimedownload nimeupdate data limerudi kama zamani [emoji39][emoji39][emoji39] nimefurahi sana hahhahahhah[emoji2772][emoji2772]
Hili game lina addiction ya nomaipo hivo kuunda kikosi haiwezi kua siku moja tu.. mfano mayele hawezi kutoka yanga (tufanye kwa sasa ana rate ya 86 kibongobongo) halafu aende pamba ya mwanza ligi daraja la pili hawezi kukubali....
so ili uwavutie wachezaji wazuri lazima upande daraja kwanza na pili uboreshe miundombinu mfano viwanja n.k
Halafu sahivi unatakiwa usajili wachezaji wenye 70+ wapo wazuri tu, hao ndo watafanya timu yako ipande rates mfano sahivi labda una nyota tatu ukiwaleta hao utaona unaoanda hadi nyota nne hapo wachezaji wazuri wataanza kushawishika....
tumia scout akusajilie, tumia yule wa coin 500... nenda kwenye transfer pale utawaona
mbaya sana ndo maana nililifuta [emoji23]Hili game lina addiction ya noma