Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako

Embu cheki wangu walivyoviroja [emoji24]View attachment 2688637
Nilipotoka ni mbali mkuu..ila cha msingi kusanya coins kwa nguvu ili upate uwanja mkubwa ili upate fedha za kuwanunua wachezaji wakubwa kisha ukishapata kikosi chako ndio unaanza taratibu kuwaongeza, inachukua muda kidogo vinginevyo Nunua tu hayo macoins.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmejenga timu kwa mwaka mzima
Ulikuwa una cheza kila siku au ulikuwa unagusia gusia

Maana mimi siwezi kucheza daily hiyo ndo shida yangu kuu. 😬😬

Unakuta hata kwa week ni game 8 tu
 
Nilipotoka ni mbali mkuu..ila cha msingi kusanya coins kwa nguvu ili upate uwanja mkubwa ili upate fedha za kuwanunua wachezaji wakubwa kisha ukishapata kikosi chako ndio unaanza taratibu kuwaongeza, inachukua muda kidogo vinginevyo Nunua tu hayo macoins.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuongeza mchezaji mbona haiwezekani unakuta yy anaongezeka kwa mechi moja tu. Mechi zingine anarudi hali yake.

Ile permanent upgrade haipo kabisa
 
Mi sitaki wachezaji wa 60 kushuka nataka wa 85+ huko ambayo ina demanda niwe na gems nyingi ambazo sina
ipo hivo kuunda kikosi haiwezi kua siku moja tu.. mfano mayele hawezi kutoka yanga (tufanye kwa sasa ana rate ya 86 kibongobongo) halafu aende pamba ya mwanza ligi daraja la pili hawezi kukubali....

so ili uwavutie wachezaji wazuri lazima upande daraja kwanza na pili uboreshe miundombinu mfano viwanja n.k

Halafu sahivi unatakiwa usajili wachezaji wenye 70+ wapo wazuri tu, hao ndo watafanya timu yako ipande rates mfano sahivi labda una nyota tatu ukiwaleta hao utaona unaoanda hadi nyota nne hapo wachezaji wazuri wataanza kushawishika....

tumia scout akusajilie, tumia yule wa coin 500... nenda kwenye transfer pale utawaona
 
Ooh sawasawa. Ila point of correction mi nina nyota 2 asee.

Ila wacha nizingatie hilo
 
Umefikaje hiyo 90+ mkuu. Sema siri yako

Embu cheki wangu walivyoviroja [emoji24]View attachment 2688637
ngoja nikuoe challenge, mwenyewe nimebadili simu ngoja nidownload upya game halafu ntakua naunda kikosi mdogo mdogo baada ya siku tatu tukutane hapa mi ntakua na wachezaji wazuri kinyama na ntakua nagawa dozi [emoji23][emoji23]
 
Duuh au sio.

Ngoja niangalie ntafanyaje.
 
ipo hivo kuunda kikosi haiwezi kua siku moja tu.. mfano mayele hawezi kutoka yanga (tufanye kwa sasa ana rate ya 86 kibongobongo) halafu aende pamba ya mwanza ligi daraja la pili hawezi kukubali....

so ili uwavutie wachezaji wazuri lazima upande daraja kwanza na pili uboreshe miundombinu mfano viwanja n.k

Halafu sahivi unatakiwa usajili wachezaji wenye 70+ wapo wazuri tu, hao ndo watafanya timu yako ipande rates mfano sahivi labda una nyota tatu ukiwaleta hao utaona unaoanda hadi nyota nne hapo wachezaji wazuri wataanza kushawishika....

tumia scout akusajilie, tumia yule wa coin 500... nenda kwenye transfer pale utawaona
Hili game lina addiction ya noma
 
🖐️🖐️
Screenshot_20230716-084308.png

Inabid uanze hivi huwezi anza na wa 80+ kwa sasa
 
Back
Top Bottom