Aah jaribu uone ya DlsMultiplayer mbona hata Fifa mobile ipo
Hakuna utofautiAah jaribu uone ya Dls
Bhs kutakuwa hakuna wachezajSasa naenda kumsaka Singasinga popote alipo, natak ndani ya jf ifahamike mim ndie king wa dream league soccer
Mimi ndio Master humu wengine matapeli soon naibuka tena kutoa kichapo baada ya simu yangu kuharibika nimerudi rasmi now,Nataka kumtambua Bingwa wenu anaetoka kwny huu Uzi ni Nani?
Hicho kichapo unaanza Lin kutoa maana Wenye DLS ss ndy tumefikaMimi ndio Master humu wengine matapeli soon naibuka tena kutoa kichapo baada ya simu yangu kuharibika nimerudi rasmi now,
hahahahaha kitambo sana ndgMimi ndio Master humu wengine matapeli soon naibuka tena kutoa kichapo baada ya simu yangu kuharibika nimerudi rasmi now,
Anambwembwe tu ili nimemfunga sana hadi nlimstafisha hili game na saizi anadai eti karudi.Hicho kichapo unaanza Lin kutoa maana Wenye DLS ss ndy tumefika
Wengi hawajui namna ya multiplayer ndio maana wanafananisha na ma game mengine ambayo unsupported to phonesAah jaribu uone ya Dls
Anambwembwe tu ili nimemfunga sana hadi nlimstafisha hili game na saizi anadai eti karudi.
Mi nimewaona tu naamin unachosema weAnambwembwe tu ili nimemfunga sana hadi nlimstafisha hili game na saizi anadai eti karudi.
We boya Una mbwembwe Ila kucheza huwezi njo uchezee kanzu na Tobo za kutosha unaweza usiguse Mpira kabisa ukicheza na cc wataalamuKwa Vikosi navyoona Humu kiukweli namashaka km kuna mtu anaweza kuwa anajua kucheza
Nakuonya utakuka kujutia hizi kauli zako maana kuna wenzako walikuwa na dharau niliwaadabisha mpaka wamekimbia huu uzi ,mimi kazi yangu humu ni kushona midomo ya wote watakaoleta dharau nakuleta heshima kwa Malegend wa humu.Hicho kichapo unaanza Lin kutoa maana Wenye DLS ss ndy tumefika
Umesahau nilifanya ukimbie jukwaa ,humu kidogo anaweza kukaa meza Moja na mimi ni Fene na Singasinga at least anaweza kukua kwenye uzani wangu mliobaki wote humu sawa na Kitayose Fc mkijaribu kunitunishia msuli mimi Bayern.Anambwembwe tu ili nimemfunga sana hadi nlimstafisha hili game na saizi anadai eti karudi.
Yah, kitambo sana mkuu karibu tena.hahahahaha kitambo sana ndg
Kwa kikosi hicho utadundwa haswaDuuh mimi najivunia kipa wangu tu na huyu wa ushambuliaji
View attachment 2689591
Mwanangu Mi hii DLS Kwenye huu Uzi sijaona kabsa Nimekuwa Bingwa Mbele ya Mabingwa na Humu sijaona km kuna mtu ambae no Bingwa Uzuri ni kwamba wote unaowafahamu wanajua waulize wanaijua BLACK TALENTEDNakuonya utakuka kujutia hizi kauli zako maana kuna wenzako walikuwa na dharau niliwaadabisha mpaka wamekimbia huu uzi ,mimi kazi yangu humu ni kushona midomo ya wote watakaoleta dharau nakuleta heshima kwa Malegend wa humu.
Tukutane Jpili au tatu panapo majaaliwa.