Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mimi ndio Master humu wengine matapeli soon naibuka tena kutoa kichapo baada ya simu yangu kuharibika nimerudi rasmi now,
Hicho kichapo unaanza Lin kutoa maana Wenye DLS ss ndy tumefika
 
Kwa Vikosi navyoona Humu kiukweli namashaka km kuna mtu anaweza kuwa anajua kucheza
 
Kwa Vikosi navyoona Humu kiukweli namashaka km kuna mtu anaweza kuwa anajua kucheza
We boya Una mbwembwe Ila kucheza huwezi njo uchezee kanzu na Tobo za kutosha unaweza usiguse Mpira kabisa ukicheza na cc wataalamu
 
Hicho kichapo unaanza Lin kutoa maana Wenye DLS ss ndy tumefika
Nakuonya utakuka kujutia hizi kauli zako maana kuna wenzako walikuwa na dharau niliwaadabisha mpaka wamekimbia huu uzi ,mimi kazi yangu humu ni kushona midomo ya wote watakaoleta dharau nakuleta heshima kwa Malegend wa humu.

Tukutane Jpili au tatu panapo majaaliwa.
 
Anambwembwe tu ili nimemfunga sana hadi nlimstafisha hili game na saizi anadai eti karudi.
Umesahau nilifanya ukimbie jukwaa ,humu kidogo anaweza kukaa meza Moja na mimi ni Fene na Singasinga at least anaweza kukua kwenye uzani wangu mliobaki wote humu sawa na Kitayose Fc mkijaribu kunitunishia msuli mimi Bayern.
 
adriz sawa nitakapokuwa poa nitakuambia maana saizi device yangu inashida ndio maana hatuonani kwenye game
 
adriz sawa nitakapokuwa poa nitakuambia maana saizi device yangu inashida ndio maana hatuonani kwenye game
 
Nakuonya utakuka kujutia hizi kauli zako maana kuna wenzako walikuwa na dharau niliwaadabisha mpaka wamekimbia huu uzi ,mimi kazi yangu humu ni kushona midomo ya wote watakaoleta dharau nakuleta heshima kwa Malegend wa humu.

Tukutane Jpili au tatu panapo majaaliwa.
Mwanangu Mi hii DLS Kwenye huu Uzi sijaona kabsa Nimekuwa Bingwa Mbele ya Mabingwa na Humu sijaona km kuna mtu ambae no Bingwa Uzuri ni kwamba wote unaowafahamu wanajua waulize wanaijua BLACK TALENTED
 
Back
Top Bottom