Dream League Soccer Special Thread

Ukiweka hiyo screenshot naacha kutumia Jf , wewe haujawahi kunifunga ila bahati nzuri mimi kila mtu nikimfunga napost humu na risiti yako ipo niliyokupiga nyingi mpaka ukakimbia huu uzi nangoja ubishe nianze kupekua humu nifukue makaburi.
Weka hapa huo ushindi wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona munacheza game la mpira jepesi sana.
Game la mpira Fifa dowlod hu enjoy
 
Nimecheza zile mods walizohack za offline miaka 2018/2019 ni moto ...ina radha yake

Kuna mshkaji wangu Humwambii kitu kuhusu fifa nimejaribu kumleta dream league hataki
Kweny magem ya mpira hakuna litakol lifikia fifa kwa uzuri na ubora
 
Fifa ndo game zuri kuliko lolote kweny cm
 
4 nadhani nilichez na jamaa ana wachezaji wa 85+ huko.

Mimi kwangu highest ni 82 yupo mmoja wengine ni 53-59 range hapo.

Of course nisingeweza kutoboa
Wewe bado underground [emoji16][emoji16] players wangu % kubwa Wana 84 +
 
Tupe muongozo lipo vip fifa

Niliwahi li download sikulielewa, hiv mech hadi upangiwe?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hili ninali licheza mm sio la online ukitak la online pia lipo wamelito la qatar yani hilo hukucheza utasema praystation4 umeiweka kweny cm unachagua mpaka style ya mchezaji kushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…