Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nimetoka kumkanda mtu muda c mlefu naitaji challenge na mtu mwengine match 3 tu zinatosha namba nimetoa juu hapo
 
Hili ninali licheza mm sio la online ukitak la online pia lipo wamelito la qatar yani hilo hukucheza utasema praystation4 umeiweka kweny cm unachagua mpaka style ya mchezaji kushangilia
Ieta hiyo link ya kudowloadia la offline

Vp kwa simu ya ram 2 inaweza support?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Njoo mzee Acha maneno professional nimekuja kuteteaut9t king hum ni check halaf uje uwahadisie wenzio 0762407301 tuma text 2
Sipo available now, nitakuchek

Ila ukicheza na adriz au Singasinga na wakikufunga basi usisumbuke kucheza na mim tena maana unatafuta kustaafu dream kwa lazima

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ieta hiyo link ya kudowloadia la offline

Vp kwa simu ya ram 2 inaweza support?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ingia pray store
Screenshot_2023-08-02-12-07-45-79.jpg
 
Kwa wasiofahamu, mim ndie Master humu nimewa-rise wengi humu katika ulimwengu wa dream hadi leo nao wana sauti wakiwemo adriz Singasinga na wengineo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Toa appreciation kwa watu na hiyo ndio kawaida ya mabingwa yaani akifungiwa au kuzidiwa anakubali ,mfano singasinga kila siku anakufunga kipigo cha aibu leo unathubutu kusema umemrise ?

Naona unaongea unazi sasa nasuburi uje nikuadabishe.
 
Njoo mzee Acha maneno professional nimekuja kuteteaut9t king hum ni check halaf uje uwahadisie wenzio 0762407301 tuma text 2
Hizi comments zako utakuja kujutia ,Saa 4 usiku panapo majaaliwa nitakutext mimi ndio nafunga watu mdomo jukwaa hili .Naona sasa unataka kuvuka mipaka kitu ambacho mimi kama Master wa humu siwezi kukubali.
 
Weka hapa huo ushindi wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umetaka kujiaibisha ngoja nitulie nianze kupekua humu bahati nzuri uzi hauna comments nyingi hivyo ni kazi ndogo kutafuta hiyo post niliyokupiga kipigo kikali na nyingine uliyofungwa ukakimbia na member mmoja humu.

Ukileta ushahidi wowote wa kunifunga najipa Bann Jf.
 
Back
Top Bottom