Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Aisee!!

Naomba tukikutana tena kama una plan B kuja nayo kabisa, maana kwa ile plan yako A jua huchomoki

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Oy Mi ni Mtaalam naweza tumia Mifumo zaidi ya 3 na Kila Mfumo Una style yake. We napiga tu 4 4 2 inakutosha Humu Eng ibird ndy ameweza kufanya nichange 4 2 3 1 Lkn na Yey namtaka Jana mtandao ulikuwa haujatulia

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Hyo Sehem ya COACHES ndy uingie hapo lkn km utataka unafuu Anza kuijaza Training Facilities itapunguza Gharama za Coaches
Screenshot_2023-08-05-11-39-04-50_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg


Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Ndo hiyo natumia lakini mbona mchezaji anajaa Kwa mechi moja Tu naona kama napoteza Tu coin [emoji26]
Alf hyo unatumia gems diamond zile [emoji184], na sio coins, na skills znaongezeka permanent
 
Back
Top Bottom