Nacheza sana labda sababu itakua hiyo uliyotoa ngoja nije nidownloaf la 2023Ukitaka kuongeza kiwango Chako Cheza Live (Tier sn) kule utakutana na Mbinu tofaut tofaut za kutafuta Ushind Japo nowdays tier nayo n ya Hovyo sn madhaifu meng
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Doh mbona kumbe NI la 23 lakini nachezea kipondo [emoji28] nipeni mbunu wakuuUmeweza vp kutumia ya 2022 Bila kuomba Update au we unatumia DLS19 (sema mod zake ndy wameandila 22)
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Utawezaje kucheza la 2022 alafu ucheze online na mwenye 2023Nacheza sana labda sababu itakua hiyo uliyotoa ngoja nije nidownloaf la 2023
Oy Mi ni Mtaalam naweza tumia Mifumo zaidi ya 3 na Kila Mfumo Una style yake. We napiga tu 4 4 2 inakutosha Humu Eng ibird ndy ameweza kufanya nichange 4 2 3 1 Lkn na Yey namtaka Jana mtandao ulikuwa haujatuliaAisee!!
Naomba tukikutana tena kama una plan B kuja nayo kabisa, maana kwa ile plan yako A jua huchomoki
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ebu tuma Profile yako tuone ni game lip iloNacheza sana labda sababu itakua hiyo uliyotoa ngoja nije nidownloaf la 2023
[emoji23][emoji23][emoji23] Ungeza muda wa kucheza Online sn then jifunze na formation nyingne nyingneDoh mbona kumbe NI la 23 lakini nachezea kipondo [emoji28] nipeni mbunu wakuu
Njo tucheze game moja unipe skills[emoji23][emoji23][emoji23] Ungeza muda wa kucheza Online sn then jifunze na formation nyingne nyingne
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Searching....
We tatzo ni kikosi tu kijaze uje ujifungie wakina FeneSearching....
Poa mkuu nimekusoma... Halafu mbona ukijaza baada ya mechi kadhaa wanarudi vilevile hamna jinsi ya kuwajaza permanentWe tatzo ni kikosi tu kijaze uje ujifungie wakina Fene
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Umepoteza muda sn ukiwa unajaza tumia coaching na sio BoostPoa mkuu nimekusoma... Halafu mbona ukijaza baada ya mechi kadhaa wanarudi vilevile hamna jinsi ya kuwajaza permanent
Ndo hiyo natumia lakini mbona mchezaji anajaa Kwa mechi moja Tu naona kama napoteza Tu coin [emoji26]Hyo Sehem ya COACHES ndy uingie hapo lkn km utataka unafuu Anza kuijaza Training Facilities itapunguza Gharama za Coaches View attachment 2709007
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Yan nilikutunzia heshima yako ili usionekane kiaz lkn umekuja na Maneno ya hovyo bhs matokeo Yako yametoka hayo hapo View attachment 2708898View attachment 2708899View attachment 2708902View attachment 2708903
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Tuma kikos chakoNipe mbinu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Doh mbona kumbe NI la 23 lakini nachezea kipondo [emoji28] nipeni mbunu wakuu
Mm natembea na 4 4 2 game zote kakOy Mi ni Mtaalam naweza tumia Mifumo zaidi ya 3 na Kila Mfumo Una style yake. We napiga tu 4 4 2 inakutosha Humu Eng ibird ndy ameweza kufanya nichange 4 2 3 1 Lkn na Yey namtaka Jana mtandao ulikuwa haujatulia
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Tumia coaches kak, na sio ile boostNdo hiyo natumia lakini mbona mchezaji anajaa Kwa mechi moja Tu naona kama napoteza Tu coin [emoji26]
Alf hyo unatumia gems diamond zile [emoji184], na sio coins, na skills znaongezeka permanentNdo hiyo natumia lakini mbona mchezaji anajaa Kwa mechi moja Tu naona kama napoteza Tu coin [emoji26]