Dream League Soccer Special Thread

Mkuu kunywa soda popote ulipo ,humu sio pa kutunziana siriweka risiti humu ili mtu akikataa iwe kumbukumbu..

Sasa Fene how dare you to call yourself a Master while you are being humiliated so disgracefully by foreigner like this ?

Nimeumizwa sana kuona umepata aibu kama hii kufungwa mechi 4 vipigo vya aibu ,lakini Master wako nakuja kulipa kisasi kama nikichofanya kwa Singasinga ambaye haujawahi kumfunga sasa huyu MrJobless inatakiwa atambua ameingia kwenye 18 za Nyambisi ngoja ajilete nimuadabishe..
 
Kiukweli we bado sn sasa sijui Yale Maneno ya tambo ulijifunzia wap.

Na kwanini huo muda wa kujifunza hayo maneno ungewekeza kujifunza DLS uwenda atleast ungekuza kiwango

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Huju jamaa Fene mweupe kabisa hana mbinu mpira wake anakwenda anakwenda halafu ana kikosi full mziki wote nyota bila hivyo angekuwa levo za King fake wa DLS.
 
Huju jamaa Fene mweupe kabisa hana mbinu mpira wake anakwenda anakwenda halafu ana kikosi full mziki wote nyota bila hivyo angekuwa levo za King fake wa DLS.
Hunielew bwana mdog huniweziii ki rank wala kweny pitch manen mengiii vitendo 0
 
Kwa wadau niliowahi kucheza nao humu huyu jamaa MrJobless ni balaa kubwa nimependa Sana staili yake ya uchezaji.. Hana butua butua anapiga pasi kama Brazil ya kina Garincha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu mwingine m-bad ni Eng ibird . Lakini pia Fene ni mkali Ila staili yake ya kucheza ni ovyo kabisa ni kama atletico Madrid [emoji3526]

Hao ni Kwa wale niliocheza nao
 
Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]

Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wapendwa wanagames.. Naomba kuelewa.. Hii game unaeza play kwa at list dakika 30,,
 
Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]

Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Watu mnajua kutunza siri lumber umebondwa mechi nyingi mfulilizo na MrJobless halafu mmevunga 😂😂😂

Huyo Wakipekee kwa jinsi anavyopata vichapo humu inanipa wakati mgumu kucheza nae coz itahesabika ni uonevu wa wazi.
 
Kaka ningekuomba ucheze na adriz naamini na wew utafarijika maana utajibutulia unavyotaka[emoji23][emoji23]

Nakuibia siri, huyo jamaa kwasasa ndie kiande humu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Adriz sijacheza Naye bado Ila sizani kama anabutua mambo kiasi hicho [emoji16][emoji1787]
 
Watu mnajua kutunza siri lumber umebondwa mechi nyingi mfulilizo na MrJobless halafu mmevunga [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo Wakipekee kwa jinsi anavyopata vichapo humu inanipa wakati mgumu kucheza nae coz itahesabika ni uonevu wa wazi.
Leta code tumalize mzizi wa fitina
 
Niite Master upate maelekezo ,hiyo ndio style iliyomzalilisha Fene kipindi cha nyuma sasa naifufua rasmi ikiwa na improved features hiyo hatosalamika mtu hata nipewe kikosi cha ndondo cup.
[emoji23][emoji23][emoji23]mwanangu unanitisha
 
[emoji23]maneno meng kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…