Dream League Soccer Special Thread

Sikujua ishara inamaanisha nini ,halafu pale text ya wasap ilikuwa juuu wakati wa kuclear nikaenda wasap wakati nipo kwenye move ya goli nilipo rudi mpk kushinda kwako hawakuwa wamesimama na move ilianzia mbali hata kama hivyo ilivyopata nilikuwa nipo move ya goli.
 
Mbna hyo ishara ni common kaka inajulkana, nkiwa nacheza na mtu friendly nkigundua mtandao unasumbua narudsha mpira nyuma alf nampa mkono mpk atakaponijbu
 
Taarifa kwa umma

adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm

Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
 
Taarifa kwa umma

adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm

Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Tatzo wanakuja na Maneno Meng
 
Lkn bado tu Berrardi kwang lzm afunge au atoe assist ni nadra sn kutokuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…