Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Hata nikikufunga nitakuwa mdogo tu!!?
Kwa kigezo gani? Kwamba umeni-dominate kwa kipind kirefu au? wakat tumecheza mara 1 tu

Sasa kwa uhuni gan naweza kukufunga wakati boli linatembea

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kiwango Chako kipo chin sn ndy udogo Wenyewe huo naozungumzia
 
Huo mchezo siwezi kuchulia siriaz namna hiyo halafu mimi ni Master humu na DLS kwa ujumla hivyo siwezi kuomba ombi kama hilo ila nakuahidi na tunza risiti hii kwamba ukiona nimerudi sina stori zaidi ya vichapo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa master
 
Ushindi wa siku moja hauwezi kumbuka mtu cheo chake ,huoni Argentina siku ya kwanza kombe la Dunia alifungwa na Saudi Arabia akadhihakiwa na kuchekwa mwishoni yeye akawa bingwa.

Nitakaporudi tena nikifungwa na mtu yeyote naacha kujiita Master nitatoa cheo kwa bingwa au kama vipi iwekwe shindano la wanaJf tu wa humu tuone who is the real Master.
Hahaha kwahyo saa ngap kaka
 
Hahaha kwahyo saa ngap kaka
Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .
 
Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🥲
 
Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .
[emoji23]kwahyo tukuvue umaster?
 
Back
Top Bottom