Kiwango Chako kipo chin sn ndy udogo Wenyewe huo naozungumziaHata nikikufunga nitakuwa mdogo tu!!?
Kwa kigezo gani? Kwamba umeni-dominate kwa kipind kirefu au? wakat tumecheza mara 1 tu
Sasa kwa uhuni gan naweza kukufunga wakati boli linatembea
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa masterHuo mchezo siwezi kuchulia siriaz namna hiyo halafu mimi ni Master humu na DLS kwa ujumla hivyo siwezi kuomba ombi kama hilo ila nakuahidi na tunza risiti hii kwamba ukiona nimerudi sina stori zaidi ya vichapo tu.
Hahaha kwahyo saa ngap kakaUshindi wa siku moja hauwezi kumbuka mtu cheo chake ,huoni Argentina siku ya kwanza kombe la Dunia alifungwa na Saudi Arabia akadhihakiwa na kuchekwa mwishoni yeye akawa bingwa.
Nitakaporudi tena nikifungwa na mtu yeyote naacha kujiita Master nitatoa cheo kwa bingwa au kama vipi iwekwe shindano la wanaJf tu wa humu tuone who is the real Master.
Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .Hahaha kwahyo saa ngap kaka
Tunapima uwezo kupitia matokeo, hayo mengine ya kupiga mpira kila mtu na mbinu zakeKiwango Chako kipo chin sn ndy udogo Wenyewe huo naozungumzia
NimekuelewaHahaha acha amalzie kujiita kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🥲Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .
Saw hakuna shidaTunapima uwezo kupitia matokeo, hayo mengine ya kupiga mpira kila mtu na mbinu zake
Nakutakia kila kheri hapo baadae kumkabili ndugu bwana Fene
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23]kwahyo tukuvue umaster?Sio leo wala kesho tuangalie kesho kutwa panapo majaaliwa ,nakula short break kwanza na hii ndio kawaida ya Master anpoa kwanza kisha kurudi kwenye game kwa nguvu mpya .
Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🥲
NaamKaka
Oi
Namalizia kupenzika kdg
Ukiwa tayar nipangeSema hata hvyo we ni Kibonde naweza Cheza huku nachat
Code