Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Vijana punguzenii ku hack una cheza na jitu wachezajii wote wamejaa coin kama zote anawa jaza sio ujanja huo tumia uwezo wako binafsii ndo maana najiita King of dls nna maan yangu wengii humu ma hack kwa hii post mnajijuwa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unaikumbuka post yako wiki iliyopita??? Mi nililalamikia Hilo swala ukapinga ukasema mchezaji hodari haogopi kitu ni kucheza Tu ???

Ukweli mchungu ni kua huwezi shindana na timu iliyobustiwa utapigwa nyingi Sana... Otherwise ukutane na kibonde au wewe uwe na uwezo mkubwa yaani "exceptional" hivi hivi lazima ujute...

Naona yamekukutaaaa kuta kuta
 
Huwez kuhack hili game, cheza na train players wako kwa makocha, acha makasiriko kjana, hujui game kaa kimya usiongee sbb zisizo na msingi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu unaikumbuka post yako wiki iliyopita??? Mi nililalamikia Hilo swala ukapinga ukasema mchezaji hodari haogopi kitu ni kucheza Tu ???

Ukweli mchungu ni kua huwezi shindana na timu iliyobustiwa utapigwa nyingi Sana... Otherwise ukutane na kibonde au wewe uwe na uwezo mkubwa yaani "exceptional" hivi hivi lazima ujute...

Naona yamekukutaaaa kuta kuta
Huwez kuhack hil game , utafungiwa ID
 
Master nimerudi ,nasemaje mtanyooka kuanzia sasa..
 
Back
Top Bottom