Dream League Soccer Special Thread

Huyu mje mnipe nicheze nae
 
Mmmmmmmmmmh vp lkn hyo Siku Moja yenyew ulishinda
 
Huyo adriz kuna Sehem nitampitisha atakuwa Moto sn

Maana Vijana niliowapitisha Mi ni wabaya sn huko kwny Mgrp ya DLS
Nimefurahi sana kuona kiande adriz na kibonde mwenzako Mr Jobless mmeungana kushindana na master

Niwaambie tu hata mkija wote wawil ni vipondo tu
Na ninachofahamu kuanzia sasa nikimbonda adriz najua nimekubonda wew Mr Jobless maana ni mwanafunz wako anatumia tactics zako

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Acha maneno mengi na kukimbia kimbia taja wazi muda ,siku na mechi mtakazo cheza iwe battle Kati yako na MrJobless tuone nani atakaye ibuka mshindi.

Mimi najua fika soka lako very poor hautoboi kama unajiamini weka hapo uabike na matokeo ya jumla yaletwe humu.
 
Kijana hv unauwezo wa kunifunga we kwel au unajisemea tu
 
Inabid Leo uje ili Kwa pmj mkubaliane kuwa Mi ndy master kweny huu uzi
Siku za ya kwanza ulinipiga nyingi kibahati mara ya pili ukaona mziki umeponea chuchupu ushindi wa goli moja ,sasa nimeshakujulia nasikitika kutangaza mwisho wako wa utawala leo tupige mechi 5 tuone nani ataibuka bingwa .

Ukitoboa hapo nitavua kofia yangu ya Umaster humu na kutangaza ramsi kuwa wewe ndio new boss in town ila haitokuwa rahisi nimeshakujulia sasa ni kuvunja bila huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…