MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
Huyu mje mnipe nicheze naeHakuna asiyejua humu kuwa Innovator ni moja Kati ya viande wa chini kuwahi kutojea katika jukwaa hili ,sio ajabu kiande kumsifu kiande mwenzake maana ndege wanaofanana huruka pamoja .Ingekuwa singasinga ,eng na wengine walio katika peak umewafunga na wameAcknowledge uwezo wako hapo sawa.
Kwa kuhitimisha wewe ni Master wa viande fungal mabingwa ndio ujiite Master.