Dream League Soccer Special Thread

Alafu anasema hivo ukute hajawai cheza kakomaa na ABC tu[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Dah kumbe ulikuja huku wakakupa vidonge vyako ndo ukafungua Uzi wa efootball [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo game nakushauri futa halafu omba code ya DLS upigwe msasa [emoji28]
 
Dah kumbe ulikuja huku wakakupa vidonge vyako ndo ukafungua Uzi wa efootball [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo game nakushauri futa halafu omba code ya DLS upigwe msasa [emoji28]
Uzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu🤣🤣🤣
Sawaa nitachukua code ya DLS, Je wewe utachujua ya eFootball 😂😂
Kuhusu kufuta game hiyo haiji tokea😂😂🏃‍♂️
 
Uzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawaa nitachukua code ya DLS, Je wewe utachujua ya eFootball [emoji23][emoji23]
Kuhusu kufuta game hiyo haiji tokea[emoji23][emoji23][emoji2089]
Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zangu
 
Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zangu
Gb 2 zako 🤣🤣🤣
Sema nini fanya kitu roho inapenda.
 
Gb 2 zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini fanya kitu roho inapenda.
Hapana DLS ni Bora Tu mkuu hata ukibisha lakini ndo hivo ukitaka kuamini angalia huu Uzi Tu Una views 64,000+ ndo ujue sio mchezo [emoji28]
 
Yeah asante kwa kuanzisha uzi huu na enjoy hili game, kitu ambacho kinanishinda nashindwa kupanda daraja wakati nakua mtu wa kwanza kwenye msimamo hii inakuaje?
Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanja
 
Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanja
Idadi ya watu inakuwa kubwa kuongezeka kadri unavyopanda daraja, ili kuendana unatakiwa kuboresha(upgrade stadium) uwanja wako. Nenda page 1 ya uzi huu kwa maelezo ya kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…