Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Alafu anasema hivo ukute hajawai cheza kakomaa na ABC tu🤣🤣😂efootball imetulia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu anasema hivo ukute hajawai cheza kakomaa na ABC tu🤣🤣😂efootball imetulia mkuu
Kila mtu anaongea vile anavyoona YeyeAlafu anasema hivo ukute hajawai cheza kakomaa na ABC tu🤣🤣😂
Dah kumbe ulikuja huku wakakupa vidonge vyako ndo ukafungua Uzi wa efootball [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu anasema hivo ukute hajawai cheza kakomaa na ABC tu[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Uzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu🤣🤣🤣Dah kumbe ulikuja huku wakakupa vidonge vyako ndo ukafungua Uzi wa efootball [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo game nakushauri futa halafu omba code ya DLS upigwe msasa [emoji28]
Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zanguUzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawaa nitachukua code ya DLS, Je wewe utachujua ya eFootball [emoji23][emoji23]
Kuhusu kufuta game hiyo haiji tokea[emoji23][emoji23][emoji2089]
Gb 2 zako 🤣🤣🤣Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zangu
Hapana DLS ni Bora Tu mkuu hata ukibisha lakini ndo hivo ukitaka kuamini angalia huu Uzi Tu Una views 64,000+ ndo ujue sio mchezo [emoji28]Gb 2 zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini fanya kitu roho inapenda.
Sawa mkuu🤣🤣🤣👐👐Hapana DLS ni Bora Tu mkuu hata ukibisha lakini ndo hivo ukitaka kuamini angalia huu Uzi Tu Una views 64,000+ ndo ujue sio mchezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kinoma...Waninyukee[emoji2]
Ety waninyuke🤣🤣 tunyukane au niwanyuke ni mawili tu🤭😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kinoma...
Leta code Kwanza nipime uwezo wako [emoji23][emoji23] ndo ntakupa jibu kama watakunyuka o notEty waninyuke[emoji1787][emoji1787] tunyukane au niwanyuke ni mawili tu[emoji2960][emoji23]
Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanjaYeah asante kwa kuanzisha uzi huu na enjoy hili game, kitu ambacho kinanishinda nashindwa kupanda daraja wakati nakua mtu wa kwanza kwenye msimamo hii inakuaje?
Nitakupa Ila so now🤣Leta code Kwanza nipime uwezo wako [emoji23][emoji23] ndo ntakupa jibu kama watakunyuka o not
Nipo shambani ndugu na 3G Haisapoti huku ila nikirudi nitakufua sanaFrustration Kijana Mi nakutaka Weapo tuje tucheze Kwasababu Mwanzo ulilalamika ss hv nipo nakutafutia wacheza ambao nitatumia kucheza na we (Sio developed)
Idadi ya watu inakuwa kubwa kuongezeka kadri unavyopanda daraja, ili kuendana unatakiwa kuboresha(upgrade stadium) uwanja wako. Nenda page 1 ya uzi huu kwa maelezo ya kina.Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanja
Usijari ndy nipo naanza Upya Kwa Ajir yako chagua nitumie Rares au LegendaryNipo shambani ndugu na 3G Haisapoti huku ila nikirudi nitakufua sana