Dream League Soccer Special Thread

Kweli Mimi Master wale wrote waliokuwa wanatamba wamekimbia sasa baada ya kusikia nimerudi na huu Uzi wanauona mchungu wakati bado sijaplay hata mechi moja humu kuendeleza dozi.

Cc : Fene Wakipekee MrJobless
Kesho saa tano asubuhi sahivi natetea ndoa bado changa [emoji2957][emoji28]
 
Huyu jamaa adriz analipenda sana hili game lakini ndohivo hajui, hebu naomba tuungane tumfundishe wanadls
 
adriz bado una safari ndefu sana kuja kujua dls, yani pira bovu, huna passing accuracy, huna techniques za kushambulia na za ku-defense
Unabutuabutua tu mipira alafu utarajie uje ujue dls, bora tu ucheze skoban au gemu la kukata matunda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
KUMEKUCHA sheikh leta risiti [emoji23]
 
Hahhhh leta code nimlipie madeni [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…