Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Screenshot_2023_1113_234701.png
 
Yule kiande adriz aliekuwa akipiga kelele sana hapa kwamba akirud tutakoma, si nikasema ngoja nikatest huku nikiwa na wasiwasi mkubwa sana
Aisee yani ni zaid ya mlevi nimemponda hovyohovyo
Risiti zake nitaziwasilisha hapa kesho asubuhi na mapema, wacha nipumzike sasa

Cc;@Wakipekee Frustration Introver , MrJobless
Huyu jamaa adriz analipenda sana hili game lakini ndohivo hajui, hebu naomba tuungane tumfundishe wanadls
Screenshot_20231114-231352_1.jpg
 
adriz bado una safari ndefu sana kuja kujua dls, yani pira bovu, huna passing accuracy, huna techniques za kushambulia na za ku-defense
Unabutuabutua tu mipira alafu utarajie uje ujue dls, bora tu ucheze skoban au gemu la kukata matunda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20231114-223605_1.jpg
 
Yule kiande adriz aliekuwa akipiga kelele sana hapa kwamba akirud tutakoma, si nikasema ngoja nikatest huku nikiwa na wasiwasi mkubwa sana
Aisee yani ni zaid ya mlevi nimemponda hovyohovyo
Risiti zake nitaziwasilisha hapa kesho asubuhi na mapema, wacha nipumzike sasa

Cc;@Wakipekee Frustration Introver , MrJobless
KUMEKUCHA sheikh leta risiti [emoji23]
 
adriz bado una safari ndefu sana kuja kujua dls, yani pira bovu, huna passing accuracy, huna techniques za kushambulia na za ku-defense
Unabutuabutua tu mipira alafu utarajie uje ujue dls, bora tu ucheze skoban au gemu la kukata matunda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2814152
Hahhhh leta code nimlipie madeni [emoji1787]
 
Back
Top Bottom