Dream League Soccer Special Thread

Duh! unasikitisha sana lakini ndio kawaida ya viande hiyo Mimi sishangai ,eti umeniponda hovyo ? mechi tano Mimi nimeshinda tatu wewe umeshinda mbili ndio ushindi wa kutamba kiasi hiko ?

Umebahatisha mara moja kwa kunizidi Master kidogo ndio unatamba Kama umenipiga mechi zote back to back ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimefanya Cancellation ya Friend Match niliyotaka nicheze nae huyu adriz
Bora ukimbie kuliko kupata aibu mapema maana Mimi yeyote atakaye jitokeza nasambaratisha jana ilikuwa ufunguzi Tu na nimezidiwa kidogo sana na mbinu zangu zinabadilika kutokana na opponent.
 
Hizi tambo za humu zote zitaisha mkikutana na wanajeshi wangu wa TALIBAN.

Anaetaka kuubusu moto afanye kurusha code maana nina hamu ya kumkaanga mtu time hii..
Wewe naweza kucheza na wewe kwa mkono mmoja huku nimefunga kitambaa machoni na nitakuoiga nyingi pamoja na hayo.

Walter wanajeshi wako waje wapate aibu kuelelea mwisho wa mwaka.
 
Bora ukimbie kuliko kupata aibu mapema maana Mimi yeyote atakaye jitokeza nasambaratisha jana ilikuwa ufunguzi Tu na nimezidiwa kidogo sana na mbinu zangu zinabadilika kutokana na opponent.
Ss km Fene Kibonde kakuchakaza hivi kwel ndy unataka uvamie Kwa watu wenye viwango Vyetu mbn unatutafutia Lawama
 
Jamaa alivyokuwa Kiande haleti matokeo ya jumla analeta nusu nusu kwa kuupamba ushindi wake wa papatupapatu ?

Naomba umuulize Fene jana mlichezq mechi ngapi na Master na kati ya hizo alifungwa na kushinda ngapi ?
Ndy maana Mi nafungaga match zote ili hiz tambo mkose [emoji23][emoji23][emoji23] sio we sio Yeye hakuna aliewai kunifunga maana najua tambo zenu
 
Wewe si ndo ma file yako yamerushwa asubuhi? 😀

Sichezi na underdogs mkuu, jifue kwanza uingie kwenye kundi la ushindani.
Hakuna bingwa asiyefungwa ilikuwa mistake katika mechi 5 akashinda tatu Mimi 2 ,hapo inaashiria kashinda ushindi wa papatupapatu..

Mimi humu nina profile kubwa mpaka nikawa Master mkuu humu wewe haujawahi kucheza na mkali wa humu hata mmoja halafu unaongea shit.

Kama unajiamini panga muda nije kukudhalilisha humu..
 
Nipo Mi hapa na anaebisha Aje na Code yake
 
Nasema Je nipo Free Kwa Ajiri yenu njoeni niwafunge Mkali wenu na Bingwa wa Muda wote nimeona mnatambiana wkt niliwafunga wote kila mtu akaja na Sababu za kutokucheza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii thread ibaki miaka mia

Nipo nasubir matokeo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…