Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Grp lipo sema Lig kdg zimesima ila soon kuna utaratibu nitauanzishaKama unagroup la DLS nikupe no yangu uniadd..
Nipo twendeSaa 5 ndy hii
[emoji848][emoji848][emoji848]Nipo twende
Tukutane saa 12 JioniAlie tayari weka code hapa
Tukutane saa 12 JioniAliye free muda huu weka code
Tukutane saa 12 Jioni hakikisha uwepoNipo twende
PoaTukutane saa 12 Jioni
Mechi ijayo gemu nne nitakupiga zote kisha nitakuwa sina deni nimeshasawazisha mzani.adriz umejikausha tuliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba uulezee umma jana nini kilikukuta baada ya kujidhatiti kutaka kupindua meza na kuondoa fedheha
Duh! Aibu naona mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi ijayo gemu nne nitakupiga zote kisha nitakuwa sina deni nimeshasawazisha mzani.
Hesabu mechi kabisa usije baada ya vipigo vyangu kukuchanganya ukasahau data..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usikute yalimkuta Yale ya Bwana kolo akala kono [emoji2772]adriz umejikausha tuliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba uulezee umma jana nini kilikukuta baada ya kujidhatiti kutaka kupindua meza na kuondoa fedheha
Duh! Aibu naona mimi
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] hebu leta code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka niweke rekodi nisifungwe na simu yako mpya hadi uhisi ina gundu ukabadilishe
Mi nikajua utakuwa hatari ndo kwanza umezidi kuwa mdebwedo[emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960]
Now nipo on shop, akija mteja utanibamiza uje utambe hapa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] hebu leta code
Poa panga muda [emoji23]Now nipo on shop, akija mteja utanibamiza uje utambe hapa[emoji23][emoji23]
Umefungwa tena Bro mbn wanakuonea snMechi ijayo gemu nne nitakupiga zote kisha nitakuwa sina deni nimeshasawazisha mzani.
Hesabu mechi kabisa usije baada ya vipigo vyangu kukuchanganya ukasahau data..