Dream League Soccer Special Thread

Network shida siwezi kuendelea now labda night , halafu mwamba unashinda Tu hata ukiona wachezaji wamesimama na network clearly haipo stable.

Hii ya chini Kona ulioshinda ukicheki network hamna player wamesimama tu
 
Usinipe Lawama miongon mwa watu wanacheza Fair Tanzania na Mi nimo sema hata Mi nimeingia network ya hovyo ila sikuitaji excuse yoyote ile ndy maana ukaona Tuntura yako ikapita
 
Mtu kwenye Kona utajua Vipi mwenzio Hana mtandao [emoji848][emoji848][emoji848] tuulizane
 
Mkiwa tayari nitafutwe Nije kutoa Elimu Kdg Ukija sitaki visingizio maana Mi Piah nipo Kweny Eneo la mtandao Mbovu sijawai kuona
 
Usinipe Lawama miongon mwa watu wanacheza Fair Tanzania na Mi nimo sema hata Mi nimeingia network ya hovyo ila sikuitaji excuse yoyote ile ndy maana ukaona Tuntura yako ikapita
Mimi huwa sipendi kuwekq excuse ndio maana nimeweka ushahidi hapo juu ,ingekuwa napenda hivyo hata ningeleta visingizio hivyo nilipogungwa na Fene

Na Mimi nikicheza nae namwambia kabisa hakikisha hauna kisingizio ,hata jana baada ya mechi moja kuzingua Lisa network nikamwambia tlukiona network yako haipo poa tughairishe au Quit kabla ya kuisha tumalize mechi hapo na sio nishinde kisha alete visingizio..
 
Sawa nimekuelewa ni mtandao ebu twende na Takwimu hizi LLLLL ilikuwa Je ukawa nazo maana michezo yote ya Nyuma ujawai kushinda. Kijana we jifue na kina Fene au Wakipekee Wakipekee

Mpk siku mtayojifunza kusema ukweli
 
Mkiwa tayari nitafutwe Nije kutoa Elimu Kdg Ukija sitaki visingizio maana Mi Piah nipo Kweny Eneo la mtandao Mbovu sijawai kuona
Kwa hiyo unataka kusema nimeedit ,mbona hauna fair play ? Mimi sijawahi kuleta visingizio miaka yote nikipigwa nakubali sina uwezo nijipange upya .

Hapa wachezaji wako wanashangilia wakati mm network hakuna hata bar 1

Attachments

  • Screenshot_2023-11-15-17-43-58-073_com.firsttouchgames.dls7.jpg
    392.1 KB · Views: 5
Kwa hiyo unataka kusema nimeedit ,mbona hauna fair play ? Mimi sijawahi kuleta visingizio miaka yote nikipigwa nakubali sina uwezo nijipange upya .

Hapa wachezaji wako wanashangilia wakati mm network hakuna hata bar 1

View attachment 2814625
Nimekuuliza kwenye Kona nitajua Je we Una mtandao
 
Unatafuta 7b Kwan uoni hata nilikuwa na Win in Row ss we ni Nani nisikufunge
Mbona sababu ya kitoto sana yanga ilikuwa unbeaten mara 49 kisha Ihefu akaharibu hesabu ?

Mimi kila mtu ninayecheza nae namwambia kuwa unasheria ya kutoendelea au kuQuit game network inapokuwa hovyo kabisa, ilimradi matokeo yawe fair hata jana Kiande Fene nilimwambia mapema sana.Na ningekuwa nakimbia nisingewahi kufungwa goli 6 humu hata wewe usingenifunga mfululizo wakati ule na sikuleta lawama.

Navyokuona hauna fair unayojisifia wakati nimekupa wa wazi.
 
Mwanangu upo Grp kibao ukiuliza Black Talented International kuhusu kucheza Fair utaambia naongoza shida ni namna ya kunotice hicho kitu kwenye Mpira ya Set Pieces
 
Nimekuuliza kwenye Kona nitajua Je we Una mtandao
Hilo sifahamu kama wewe unajua au vipi na inatokea muda mwingine opponent hana network ila wewe unakuwa haujui.

Nakulaumu kwa kunilaumu kukimbia hata baada ya kuweka wazi ,kwangu players walisimama pamoja na ushahidi juu ,hapo ndipo nilipoona hauna fair play .Sioni sababu ya Mimi kukimbia coz Hii ni sehemu ya kujifurahisha hata nikifungwa hakuna maslahi wala hasara
 
Bhs ucwaze night utakuja nikufunge Bro
 
Bhs ucwaze night utakuja nikufunge Bro
Baridi ,mimi kuanzia saa 4 usiku nakuwa free na hakuna shida ya network na huwa nacheza mechi 4 au 5 na mtu ikiwa tumetoshana nguvu.

Muda huu niliweka mbili ili kupima upepo,baade kama vipi tucheze hio gemu nitapania udhalilike .
 
Mi utasema tu Mech 5 saw lkn nikikufunga 3 mfululizo uwaga simalizi mech unless uwe una lengo la kujifunza 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…