Dream League Soccer Special Thread

Nimeweka historia ya kukufunga pamoja na dharau zako ...

Matokeo ya jumla : tumecheza mechi Nne yeye kashinda 2 na Mimi 2 hapo Ngoma droo.

Natural salami kwa Fene gari limewaka.
 
Fene inatakiwa uniheshimu kuanzia Leo maana wababe wako wote ambayo haujawahi kuwafunga na hawajawahi kufungwa na mtu yeyeto humu Mimi ndio nimewachapa .

Mfano Singasinga na MrJobless wote wamepoteza kwangu ,sasa nileteeni mwingine..
 
Umeona hapo sema nikasema Acha nicheze maana Baadae nalea Ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…