Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Yan we Leo Net imekuokoa sn? Umakin tu umekosa
Sawa ,tafuta siku nyingine ambayo nikikufunga hautakuwa na sababu kisha tucheze vizuri ..

Net kama haiko vizuri ilikuwa haina haja ya kufika gemu Nne ,ungefanya kama Mimi siku ile kipindi cha kwanza Tu kilivyoisha nikaghairisha kucheza siku yenyewe kwa sababu ungenifunga ningesema net.
 
Ni lzm ningefika tu ss maana Baadae nitakuwa naongea na Simu nisingeweza kukuacha Kwa kucheza Game 1 Binafsi sio saw. Na Mi piah sio muhumin wa Game 1.

Ni we tu umekosa umakin ungeshinda hata 7+ ila ukawa unapiga nje ss si Bora ungecheza Fair.
 
Kiukweli huyu adriz kutoa hizo LLLLL na kuweka W 2 ni km kaweka Bifu kuanzia Sasa huyu Nitakuwa napiga Goals 5 per Match
Screenshot_2023-11-16-21-56-48-87_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Kiukweli huyu adriz kutoa hizo LLLLL na kuweka W 2 ni km kaweka Bifu kuanzia Sasa huyu Nitakuwa napiga Goals 5 per MatchView attachment 2815962
Mechi uliyonipiga tano ,nilikusoma mfumo wako unategemea sana kati kati ,mimi nikajaza viungo kati kisha nikawa nacheza very offensively kuhakikisha mido zako hawapigi pasi za mwisho na kufika miguuni kwa haraka kunyan'ganya boli ,hapo mpira ukawa rahisi sana kwangu.
Screenshot_2023-11-16-21-59-44-364_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Mechi uliyonipiga tano ,nilikusoma mfumo wako unategemea sana kati kati ,mimi nikajaza viungo kati kisha nikawa nacheza very offensively kuhakikisha mido zako hawapigi pasi za mwisho na kufika miguuni kwa haraka kunyan'ganya boli ,hapo mpira ukawa rahisi sana kwangu.View attachment 2815979
Mimi Mzee mbinu ,sasa Fene nakutafutia dawa ya Casemiro maana ndio anavuruga mipango yangu mipira yote inaishia kwake na kublock hatari kabla ya kufika karibu ya 18.
 
Mechi uliyonipiga tano ,nilikusoma mfumo wako unategemea sana kati kati ,mimi nikajaza viungo kati kisha nikawa nacheza very offensively kuhakikisha mido zako hawapigi pasi za mwisho na kufika miguuni kwa haraka kunyan'ganya boli ,hapo mpira ukawa rahisi sana kwangu.View attachment 2815979
Mwanangu Mi nacheza na Mifumo 3 so uwa nabadilikaa sn kutoka na Uchezaj wako unavyokuja. Same net ilikuwa tatzo tu lkn. Bado hiyo 3 5 2 magap ni Meng na kuna Style yake ya kuishambulia. Tabu nipo Ifakara kumamamake ya Voda haishiki Tigo tia tia Maji ni Halotel ndy inajitahid hata H+ inaweza kuchezea Game.
 
Sasa sipo free mkuu time yangu imeisha napenda nipo road naelekea kulala sehemu niliyojichimbia kumkanda MrJobless nimetoka now.
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiz text zitakuja zikiponze uto Amin Muulize Eng ibird nilimpa Siku 3 nilikuja kucheza nae Game 5 mfululizo alikula vitasa sn.
 
Back
Top Bottom