adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Sawa ,tafuta siku nyingine ambayo nikikufunga hautakuwa na sababu kisha tucheze vizuri ..Yan we Leo Net imekuokoa sn? Umakin tu umekosa
Net kama haiko vizuri ilikuwa haina haja ya kufika gemu Nne ,ungefanya kama Mimi siku ile kipindi cha kwanza Tu kilivyoisha nikaghairisha kucheza siku yenyewe kwa sababu ungenifunga ningesema net.