Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Fene huu uzi kwake umekuwa mchungu sasa anapita kama hauoni ,mpira wake mbovu ,kiwango chake kibovu na matokeo yake mabovu sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

No comment more than "enjoy your temporary"

Nisipokuachia mim utamfunga nani humu? Sema wew mwenyew

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwa kichapo unachopata daily sijui unatoa wapi ujasiri wa kuzungumza ,sasa hivi ukitaka mechi tena na Mimi njoo na barua ya kuthibitisha kuwa umeboresha kiwango chako.
 
Back
Top Bottom