Dream League Soccer Special Thread

Bando langu la mwezi limekata njiani sasa nipo utawala wa Freebasic natamani siku niplay na mwana Jf humu ila kila nikiwa tayari watu hawapo tayari.
Ipo siku utakuja kufungwa
 
Mim nimeshadownload,nikitaka kufungua linaandika hivi msaada please
 
Nimedownload linaandika hivi,msaada please
 
Simu yako halikubali(not compatible) game hili. Labda jaribu game la first touch soccer(fts) maana limefanana kidogo na hilo
Nimedownload linaandika hivi,msaada please
 
Mtu yeyote aliye tayari tukiwashe leo ,mimi nipo gado anytime.
 
umefanyaje kupata hao wachezaji mzee[emoji15][emoji15]
Unaingia sokoni mchawi mpunga wa kutosha na ili upate inatakiwa uongeze ukubwa wa uwanja zikija options za kuwatch video unwatch ili coins ziongekeze.

Kwenye usajili DLS 22 unaingia sehemu ya transfer utaona wachezaji wapo sokoni ila mara nyingi wanakuja vibonde labda kidogo uwe ligi za juu ndio unawekewa mchezaji mzuri kwenye transfer list ya wachezaji.Sasa mbinu nzuri ya kumpata mchezaji wa kiwango tumia scout

Kisha chagua skauti wa mwishoni ambaye dau lake ni coin 500 na mchezaji anyemleta ni kuanzia coin 1500 -2000 sasa ukitaka kupata mchezaji wa uhakika Ingia sokoni na hela kuanzia 2000Coin

Nb :Njia nyingine kila baada ya mechi pitia sokoni unaweza kuta mchezaji mzuri wamemuweka hivyo unamdaka chap bila kumpa hela skauti .
 
Mda unaopanga sio mzuri sana saa 3 usiku walau iwe saa 2 au saa 2 na nusu
Bando langu la mwezi limekata njiani sasa nipo utawala wa Freebasic natamani siku niplay na mwana Jf humu ila kila nikiwa tayari watu hawapo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…