Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hii dream niliifuta toka last year ,sa sijajua kama wafix na kuongeza vitu gani . Sababu niliona ni online na hakuna maajabu graphics kwa mashabiki ni giza pia kwenye sehemu ya kubuy players sikupenda mfumo wake pia wachezaji wanawahi kuchoka n.kNimekuwa winner event ya July challenge nasubiri nyingine ,timu yangu nilichukua Inter milan Everton nilipigwa vibaya kama mara 2 hiviView attachment 2283084
Sijawahi ingia kwenye july challengeNimekuwa winner event ya July challenge nasubiri nyingine ,timu yangu nilichukua Inter milan Everton nilipigwa vibaya kama mara 2 hiviView attachment 2283084
Upande wa mashabiki hawapo poa sana ila ndani ya pitch ni muruah sanaMimi hii dream niliifuta toka last year ,sa sijajua kama wafix na kuongeza vitu gani . Sababu niliona ni online na hakuna maajabu graphics kwa mashabiki ni giza pia kwenye sehemu ya kubuy players sikupenda mfumo wake pia wachezaji wanawahi kuchoka n.k
DLS tamu mnapocheza wawiliHuwa nacheza hii dream japo ni ya muda
maana ni ya kiukali kwanzia music, graphics, sura za wachezaji n. k
View attachment 2283117
Penguine nmewahi kukufunga ikumbuke Starlick fcUkikutana na timu inayojiita Penguin 🐧 Fc ndio chama langu.Kuna jamaa anajiita KLOPP anatisha vibaya kila nikikutana nae ananifunga halafu anapiga bila biriyani.
Mimi napenda online events na online friend game ya kutumia code kuliko online league ya kawaida ,Sasa nimecheka nimeona kuna event mpya itaanza masaa 5 yajayo nitachukua Madrid niwanyooshe watuSijawahi ingia kwenye july challenge
Hii unachezajiNimekuwa winner event ya July challenge nasubiri nyingine ,timu yangu nilichukua Inter milan Everton nilipigwa vibaya kama mara 2 hiviView attachment 2283084
Sikumbuki ,mimi nawakumbuka ninaokutana nao mara kwa mara na wanaopiga mpira biriyan ila majamaa wangeweka options ya watu kuchati hata halftime kama wanavyofanya baadhi ya magemu ya vita online ingekuwa poa na ingesaidai watu kupata hata marafiki.Penguine nmewahi kukufunga ikumbuke Starlick fc
Ukiwasha tu gemu unaclic hapo then upande wa kulia events ndio zinakuwepo na zinakuwa na kiingilio kama coins 80 ikiwa timu mnapewa ila zikija events za kuhusisha timu yako moja kwa moja dhidi ya wapinzani ambazo zinakuwa na stage mpk finali kiingilio inakuwa coin 280Hii unachezaji
Nahisi njia itakuwepo jaribu kugugo au You2be kucheki kama hiko kitu kinawezekana maana kule kuna wataalamu wa kila aina.Hivi uki restore siku hakuna option ya kurudisha team yako pale ulipo ishia? coz team yangu nneijenga mwaka mzima ipo strong arafu simu ikazingua
Kama umeconnect DLS yako na Google play games na unakumbuka email yako basi hata ukilifuta halafu udownload utakuta kikosi chako kipo vilevileHivi uki restore siku hakuna option ya kurudisha team yako pale ulipo ishia? coz team yangu nneijenga mwaka mzima ipo strong arafu simu ikazingua
Ni kweli lakini kipindi kile naicheza siku fahamu kama kuna option ya kucheza wawili kwa codeDLS tamu mnapocheza wawili
Nielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.Kama umeconnect DLS yako na Google play games na unakumbuka email yako basi hata ukilifuta halafu udownload utakuta kikosi chako kipo vilevile
Me nililifuta toka last year ila huwa nikilidownload nakuta kikosi changu kipo vilevile
Download kwanza hii app halafu ujiunge nayoNielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
Poa ila naona umeifuta image hapo,Mimi kikosi changu cha Dream sitaki nikipoteze nataka likitokea lolote team yangu irudi maana DLS 2016/17/ nilikuwa na kikosi nilichokipenda kikapotea nilivyorestore.Download kwanza hii app halafu ujiunge nayo
Ukimaliza kujiunga , Fungua dream then ita sign-in
Ngoja ni download dls kwa mara nyingine ili nikupe maelezo kwa ufasaha zaidi mkuu
View attachment 2283388