Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #301
Mambo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saizi upo daraja gani?Yeah asante kwa kuanzisha uzi huu na enjoy hili game, kitu ambacho kinanishinda nashindwa kupanda daraja wakati nakua mtu wa kwanza kwenye msimamo hii inakuaje?
LegendarySaizi upo daraja gani?
Game bovu kabisa hiliPPSSPP ni unyama tu View attachment 2282293
HahaOya wajomba kuna mdau aliwahi kuanzisha thread na huwa inanitokea mara nyingi wakati ninacheza dream league dushe linafura kitaalamu imekaaje na vp upande wenu inawatokeaga hii ?
Hongera mm nmeanza upya baada ya kui restore simu yangu nipo academyLegendary
Upo hewani?Haha
Hili game linafosiwa tu kwenye simu ndio maana lina button nyingi sanaPPSSPP ni unyama tu View attachment 2282293
Umeanza kushinda?Hili game kufunga ni ngumu sana au mimi ni ndo mbovu, naishia kutoa sare tu...🤣🤣🤣
Sijui hii Yanga yangu itatoboa lini kupanda daraja...
Nme restore simu bado kikosi changu hakija kaa sawa ngoja kidigo taku challenge hope kipigo nitakacho kupa utajua hujuiUpo hewani?
Hata mm npo academy division hakuna haja ya kuogopaNme restore simu bado kikosi changu hakija kaa sawa ngoja kidigo taku challenge hope kipigo nitakacho kupa utajua hujui
Nimeanza kuwapiga.Umeanza kushinda?
Ku hack ni vibaya na linapunguza uhalisia na game pia linakuwa weak na utafungwa sanaNiwafundishe ku hack
Upo division ganiNimeanza kuwapiga.