Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nimekuwa winner event ya July challenge nasubiri nyingine ,timu yangu nilichukua Inter milan Everton nilipigwa vibaya kama mara 2 hivi
IMG_20220706_121949.jpg
 
Ukikutana na timu inayojiita Penguin 🐧 Fc ndio chama langu.Kuna jamaa anajiita KLOPP anatisha vibaya kila nikikutana nae ananifunga halafu anapiga bila biriyani.
 
Nimekuwa winner event ya July challenge nasubiri nyingine ,timu yangu nilichukua Inter milan Everton nilipigwa vibaya kama mara 2 hiviView attachment 2283084
Mimi hii dream niliifuta toka last year ,sa sijajua kama wafix na kuongeza vitu gani . Sababu niliona ni online na hakuna maajabu graphics kwa mashabiki ni giza pia kwenye sehemu ya kubuy players sikupenda mfumo wake pia wachezaji wanawahi kuchoka n.k
 
Upande wa mashabiki hawapo poa sana ila ndani ya pitch ni muruah sana
 
Ukikutana na timu inayojiita Penguin 🐧 Fc ndio chama langu.Kuna jamaa anajiita KLOPP anatisha vibaya kila nikikutana nae ananifunga halafu anapiga bila biriyani.
Penguine nmewahi kukufunga ikumbuke Starlick fc
 
Nina shida namna ya kupata Coin kweny dream leage
 
Sijawahi ingia kwenye july challenge
Mimi napenda online events na online friend game ya kutumia code kuliko online league ya kawaida ,Sasa nimecheka nimeona kuna event mpya itaanza masaa 5 yajayo nitachukua Madrid niwanyooshe watu
IMG_20220707_095906.jpg
Events mzuka mwingi na upinzani coz hakuna kuoneana maana wote mnapewa timu zenye uwiano sawa au unaokaribiana tofauti na league unakutana mtu ana timu hafifu au amejaza nguvu wachezaji wote power kuanzia 90 .
 
Penguine nmewahi kukufunga ikumbuke Starlick fc
Sikumbuki ,mimi nawakumbuka ninaokutana nao mara kwa mara na wanaopiga mpira biriyan ila majamaa wangeweka options ya watu kuchati hata halftime kama wanavyofanya baadhi ya magemu ya vita online ingekuwa poa na ingesaidai watu kupata hata marafiki.

Kuna mdau wangu nilimtajia timu yangu akasema aliwahi kuupiga 5 -0 alivyonipa code tukapiga friend nikakumbuka kweli.
 
Hii unachezaji
Ukiwasha tu gemu unaclic hapo then upande wa kulia events ndio zinakuwepo na zinakuwa na kiingilio kama coins 80 ikiwa timu mnapewa ila zikija events za kuhusisha timu yako moja kwa moja dhidi ya wapinzani ambazo zinakuwa na stage mpk finali kiingilio inakuwa coin 280
IMG_20220707_101234.jpg

Ukiwa kwenye carrier unabonyeza kwenye home then unakuja kwenye live kama hapo juu kisha kulia
IMG_20220707_101517.jpg

Nb:Event zina muda maalumu kuanza na kuisha na ukipigwa mara 3 yaani ukitumia timu mara tatu basi unasubiri nyingine kwa zinazo husisha timu mwisho mara 1 unakaa benchi.
 
Hivi uki restore siku hakuna option ya kurudisha team yako pale ulipo ishia? coz team yangu nneijenga mwaka mzima ipo strong arafu simu ikazingua
 
Hivi uki restore siku hakuna option ya kurudisha team yako pale ulipo ishia? coz team yangu nneijenga mwaka mzima ipo strong arafu simu ikazingua
Nahisi njia itakuwepo jaribu kugugo au You2be kucheki kama hiko kitu kinawezekana maana kule kuna wataalamu wa kila aina.
 
Hivi uki restore siku hakuna option ya kurudisha team yako pale ulipo ishia? coz team yangu nneijenga mwaka mzima ipo strong arafu simu ikazingua
Kama umeconnect DLS yako na Google play games na unakumbuka email yako basi hata ukilifuta halafu udownload utakuta kikosi chako kipo vilevile
Me nililifuta toka last year ila huwa nikilidownload nakuta kikosi changu kipo vilevile
 
DLS tamu mnapocheza wawili
Ni kweli lakini kipindi kile naicheza siku fahamu kama kuna option ya kucheza wawili kwa code
Me nilikuwa nacheza na online opponents halafu hakuna kitu kizuri kama unapo mpiga mtu goli 4 au 3 bila kwenye kipindi cha kwanza halafu anaquit [emoji23][emoji23][emoji23] raha sana
 
Kama umeconnect DLS yako na Google play games na unakumbuka email yako basi hata ukilifuta halafu udownload utakuta kikosi chako kipo vilevile
Me nililifuta toka last year ila huwa nikilidownload nakuta kikosi changu kipo vilevile
Nielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
 
Nielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
Download kwanza hii app halafu ujiunge nayo
Ukimaliza kujiunga , Fungua dream then ita sign-in
Ngoja ni download dls kwa mara nyingine ili nikupe maelezo kwa ufasaha zaidi mkuu
View attachment 2283388
 
Download kwanza hii app halafu ujiunge nayo
Ukimaliza kujiunga , Fungua dream then ita sign-in
Ngoja ni download dls kwa mara nyingine ili nikupe maelezo kwa ufasaha zaidi mkuu
View attachment 2283388
Poa ila naona umeifuta image hapo,Mimi kikosi changu cha Dream sitaki nikipoteze nataka likitokea lolote team yangu irudi maana DLS 2016/17/ nilikuwa na kikosi nilichokipenda kikapotea nilivyorestore.
 
Back
Top Bottom