Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Umetisha sanaUkitaka kukaba tumia sn directions ukikaribia Mpira hold B na mara nying penda kuchange Active Player (Bonyeza C) ukiwa una Mpira ili kumpa Active Mchezaj alie Karibu na mpira so na km tactics utakuwa umeweka Defensive obviously mchezaj akiwa Hana Mpira atakuambia kurud goal kwako
Hapo kwenye tactics ipi nzuri kati ya attacking, balanced na Defensively
Binafsi ni mdau wa balanced sijawai jaribu hizo nyingine
Pia issue nyingine kwenye kona je kuna technique yoyote ya kuwin vichwa kabla ya wapinzani..
Maana wale wanaopiga kona ndefu then anatoa pasi ya kichwaa ni janga ambalo nimeshalishindwa...