Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ilikuwa moja ya mechi kali tokea nianze kucheza events hata mwenyewe alikubali kaunta yaani ilikua piga nikupige hata filimbi ya half time kila mtu alitamani gemu iendelee.

Kushinda ni uhakika kwangu coz ni Master na ndio maana nikajipa ban ya siku tano na zaidi kutokana na uzembe wangu gemu kutoendelea.
😂😂😂😂😂 imeisha hiyo na una flop mdogo mdogo
 
Mda wowote ule nitag hapa na wewe uwe katika list ya waliochezea vichapo humu au kukimbia gemu kama privacy hakutokea tena baada ya kucheza mechi tatu na mimi kumfunga mmoja ya mwisho .
Huyo @priv alikupiga ngapi
 
Mda wowote ule nitag hapa na wewe uwe katika list ya waliochezea vichapo humu au kukimbia gemu kama privacy hakutokea tena baada ya kucheza mechi tatu na mimi kumfunga mmoja ya mwisho .
Ila bado sijajua jinsi kuingiza code kwa watu mliopanga kucheza, na je code zangu nazijua vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂 imeisha hiyo na una flop mdogo mdogo
Nikija tena narudia kama mboga alijeruhiwa mtu kala ndogo 3 coz najiamini na staili mpya ya uchezaji niliyobuni ambayo ni new version ya kaunta ya kutumia pembeni tu niliyokua naitegemea.

Sasa natumia "Parching style" hii nadanganya naenda pembeni navuta mabeki kisha narudisha nyuma na press Kati na kutuma kaunta inamkuta mtu wa spidi inakuwa kamba .

Ngoja nitume clip ya goli nilikofunga kwa hii staili mpya niliyobuni ni kali mno.
 
Utafikiri timu pinzani imesimama tu unavyosimulia ila unamikwara zaidi ya Karim Mandonga
 
Nipo tayari kuvunja likizo kurudisha heshima humu na natangaza saa 8 kama kuna mtu anajiweza humu aje.
 
Ila bado sijajua jinsi kuingiza code kwa watu mliopanga kucheza, na je code zangu nazijua vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda Exhibition kuna sehemu ya match code. Hapa tunakubaliana tutumie code ipi mfano code iwe neno "Kibonde" basi wote tuingize kwa wakati mmoja na itasearch na itaunganisha na game itaendelea.
 
Ukienda Exhibition kuna sehemu ya match code. Hapa tunakubaliana tutumie code ipi mfano code iwe neno "Kibonde" basi wote tuingize kwa wakati mmoja na itasearch na itaunganisha na game itaendelea.
Ahaa, nimekupata mkuu ngoja nikitulia nitaanza maangamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, Ila pale ktk kuingiza code, code unazitolea wap, nielekeze maana natak nitangaze ufalme wangu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Code yoyote ile tutakayo weka hata jina lako haina shida cha msingi wote tuingize wakati mmoja na zimatch kwa kila kitu kuanzia spelling
 
Tutafute goli bora kwa kuposti short clip
Parching style mtu anapigwa magoli kama hayo mimi ndiyo master wa skills bora za counter attack.Huu ni mfumo wa kuunganisha vyuma kwa uji mzito wa moto
 
Tutafute goli bora kwa kuposti short clip
Hii Parching hii 😆😆yaani inasaka mchezaji kwa kaunta popote alipo ndio maana siogopi team yeyote hata wachezaji wewe na nguvu kama za Hulk kwani watavutwa kiakili kama watoto wadogo vile na kuchezea kichapo sio cha kawaida.
 
Back
Top Bottom