Mda wowote ule nitag hapa na wewe uwe katika list ya waliochezea vichapo humu au kukimbia gemu kama privacy hakutokea tena baada ya kucheza mechi tatu na mimi kumfunga mmoja ya mwisho .Nitakutafuta mkuu adriz nikufundishe soka
View attachment 2317863
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 imeisha hiyo na una flop mdogo mdogoIlikuwa moja ya mechi kali tokea nianze kucheza events hata mwenyewe alikubali kaunta yaani ilikua piga nikupige hata filimbi ya half time kila mtu alitamani gemu iendelee.
Kushinda ni uhakika kwangu coz ni Master na ndio maana nikajipa ban ya siku tano na zaidi kutokana na uzembe wangu gemu kutoendelea.
Hana kitu kwa sasa zaidi ya kusingizia likizoNitakutafuta mkuu adriz nikufundishe soka
View attachment 2317863
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bado sijajua jinsi kuingiza code kwa watu mliopanga kucheza, na je code zangu nazijua vip?Mda wowote ule nitag hapa na wewe uwe katika list ya waliochezea vichapo humu au kukimbia gemu kama privacy hakutokea tena baada ya kucheza mechi tatu na mimi kumfunga mmoja ya mwisho .
Nitamuonesha shughuli maana anachonga sanaHana kitu kwa sasa zaidi ya kusingizia likizo
Nikija tena narudia kama mboga alijeruhiwa mtu kala ndogo 3 coz najiamini na staili mpya ya uchezaji niliyobuni ambayo ni new version ya kaunta ya kutumia pembeni tu niliyokua naitegemea.😂😂😂😂😂 imeisha hiyo na una flop mdogo mdogo
Alinifunga mm ndio maana anaongea sana ila ajue mm nilifomat simu na nikaanza upya academy. Kwa sasa ananiogopa kwa sababu anajua mm ni fire
Nimesahau ,ila mechi ya mwisho nikaanza kutumia formula yangu na akakubali mziki akaahidi kurudi tupige tatu za ubingwa mpk leo kasepa.Huyo @priv alikupiga ngapi
Utafikiri timu pinzani imesimama tu unavyosimulia ila unamikwara zaidi ya Karim MandongaNikija tena narudia kama mboga alijeruhiwa mtu kala ndogo 3 coz najiamini na staili mpya ya uchezaji niliyobuni ambayo ni new version ya kaunta ya kutumia pembeni tu niliyokua naitegemea.
Sasa natumia "Parching style" hii nadanganya naenda pembeni navuta mabeki kisha narudisha nyuma na press Kati na kutuma kaunta inamkuta mtu wa spidi inakuwa kamba .
Ngoja nitume clip ya goli nilikofunga kwa hii staili mpya niliyobuni ni kali mno.
Ukienda Exhibition kuna sehemu ya match code. Hapa tunakubaliana tutumie code ipi mfano code iwe neno "Kibonde" basi wote tuingize kwa wakati mmoja na itasearch na itaunganisha na game itaendelea.Ila bado sijajua jinsi kuingiza code kwa watu mliopanga kucheza, na je code zangu nazijua vip?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta sababu useme kwa kuwa ulikuwa likizoNipo tayari kuvunja likizo kurudisha heshima humu na natangaza saa 8 kama kuna mtu anajiweza humu aje.
Alinifunga mm ndio maana anaongea sana ila ajue mm nilifomat simu na nikaanza upya academy. Kwa sasa ananiogopa kwa sababu anajua mm ni fire
Ahaa, nimekupata mkuu ngoja nikitulia nitaanza maangamiziUkienda Exhibition kuna sehemu ya match code. Hapa tunakubaliana tutumie code ipi mfano code iwe neno "Kibonde" basi wote tuingize kwa wakati mmoja na itasearch na itaunganisha na game itaendelea.
Code yoyote ile tutakayo weka hata jina lako haina shida cha msingi wote tuingize wakati mmoja na zimatch kwa kila kitu kuanzia spellingSawa, Ila pale ktk kuingiza code, code unazitolea wap, nielekeze maana natak nitangaze ufalme wangu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Parching style mtu anapigwa magoli kama hayo mimi ndiyo master wa skills bora za counter attack.Huu ni mfumo wa kuunganisha vyuma kwa uji mzito wa motoTutafute goli bora kwa kuposti short clip
Hii Parching hii 😆😆yaani inasaka mchezaji kwa kaunta popote alipo ndio maana siogopi team yeyote hata wachezaji wewe na nguvu kama za Hulk kwani watavutwa kiakili kama watoto wadogo vile na kuchezea kichapo sio cha kawaida.Tutafute goli bora kwa kuposti short clip