Innovator97
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 274
- 375
Alie tiyari twende code Innovator
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akubali tu kuwa amefungwa jmn hadi game lina siasa?Sasa online event unashndaje
Mechi ya kwanza huwa sifocous ushindi ,kwa mchezo wako ukija tena utapigwa mpk uchakaeSasa online event unashndaje
Twende ya pili sasMechi ya kwanza huwa sifocous ushindi ,kwa mchezo wako ukija tena utapigwa mpk uchakae
Poa Delle4 codeTwende ya pili sas
Gemu 2 twendeTuweke gemu mbili halafu aone miziki yangu
Kapigwa mpk kachakaa
Mimi ni Master wa gemu hili mechi ya kwanza huwa nasoma mchezo kinachofuata ni mafataki tu sina huruma.adriz umepandisha hadi kisukari
Utakuwa na mda night kuanzia saa 4 tukiwashe?Jamaa wewe unajua mpira tofauti na Fene au @Frustation japo una kikosi kidogo unacheza soka la ufundi mno kama Bayern ya Pep na ukiboresha kikosi kidogo utakuja kuwa mrithi wangu wa cheo cha Umaster humu.
Hahaha ngoja nisajili mapro sasaJamaa wewe unajua mpira tofauti na Fene au @Frustation japo una kikosi kidogo unacheza soka la ufundi mno kama Bayern ya Pep na ukiboresha kikosi kidogo utakuja kuwa mrithi wangu wa cheo cha Umaster humu.
Kiwango chako kikubwa ukisajili utakuwa haukamatikiHahaha ngoja nisajili mapro sasa
Poa.
Nipo mkuu, mda si mrefu kitaelewekaFene usikimbie mdau ukifika maana ulivuta sharubu za Simba dume sasa amekurupuka kwa hasira kumtafuta mgomvi wake.