EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 502
- 461
Hili gemu mnacheza online# watu wawili?Ngoja niweke kumbukumbu sawa [emoji23][emoji38][emoji23]View attachment 2332703
Dakika ya 17 umekula mbili hadi ukakwitiView attachment 2332704
Kumbukumbu nyingine umekula Rava4View attachment 2332717Hatujamalizaa!!View attachment 2332718
Ndio ?Hili gemu mnacheza online# watu wawili?
Oya adriz upo?Ndio ?
Njoo Delle4 gemu mbiliOya adriz upo?
Niquote nijue kama tanaruka.Oya adriz upo?
Nimekusubir kule twenzetu basiNiquote nijue kama tanaruka.
Usiku kwangu jau mtandao unasumbua tujaribu sasa 5 kama jana au 6 tuone.Oya adriz upo?
PoaUsiku kwangu jau mtandao unasumbua tujaribu sasa 5 kama jana au 6 tuone.
Nimekusubir kule twenzetu basi
Shukuru sana usingizi ulinichukua, ungeumiaKuna kiande yeyote humu ?
Umekimbia match kibonde.Shukuru sana usingizi ulinichukua, ungeumia
Ni wachezaji wanao-rate kuanzia 90+Wadau inakuajee kwenye dream wachezaji wote wanaonekana weusi?
adriz umebaki wew tu nitangaze ufalme wangu humu, dola yako ilishaangukaUmekimbia match kibonde.
Dola haiwezi kuanguka kea kufungwa mechi moja tu ,@Frustation katika mechi kumi kashinda moja na yule alioshinda 4 amelipa kisasi kea hiyo hakuna maajabu hapo ila waliniunga mara ya pili nitakubali Dola imeshuka .adriz umebaki wew tu nitangaze ufalme wangu humu, dola yako ilishaanguka
Wakali wako wote kwangu viande nishawapelekea moto
Dola haiwezi kuanguka kea kufungwa mechi moja tu ,@Frustation katika mechi kumi kashinda moja na yule alioshinda 4 amelipa kisasi kea hiyo hakuna maajabu hapo ila waliniunga mara ya pili nitakubali Dola imeshuka .
Sina mkali wangu humu mimi ndio mfamle wa humu anayebisha aweke takwimu na sababu za kwa nini yeye mfamle .adriz umebaki wew tu nitangaze ufalme wangu humu, dola yako ilishaanguka
Wakali wako wote kwangu viande nishawapelekea moto