Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nimekusubir kule twenzetu basi
Screenshot_20220824_222032.jpg
 
adriz umebaki wew tu nitangaze ufalme wangu humu, dola yako ilishaanguka

Wakali wako wote kwangu viande nishawapelekea moto
Dola haiwezi kuanguka kea kufungwa mechi moja tu ,@Frustation katika mechi kumi kashinda moja na yule alioshinda 4 amelipa kisasi kea hiyo hakuna maajabu hapo ila waliniunga mara ya pili nitakubali Dola imeshuka .
 
adriz ukiingia unijulishe nikutafute ulizia Johex
 
adriz umebaki wew tu nitangaze ufalme wangu humu, dola yako ilishaanguka

Wakali wako wote kwangu viande nishawapelekea moto
Sina mkali wangu humu mimi ndio mfamle wa humu anayebisha aweke takwimu na sababu za kwa nini yeye mfamle .

Nikifungwa na mtu yeyote kuanzia sasa kwa tukiruka kwa idadi za mechi tulizo kubaliana na akanizidi points natangaza kumpa ufalme rasmi kwani naona humu wote viande bora nitafute magroup nijipime uwezo kwao mabingwa.
 
Back
Top Bottom