Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ahaa nishaona

Nilitaka niishangae hii comeback ya mr Kangaloo
Ulimtaka kangaroo kibonde mbona unaniogopa sasa hutaki kujiaibisha na mimi nimedhamiria kukuaibisha humu Kukata mzizi wa fitina ?
 
Ulimtaka kangaroo kibonde mbona unaniogopa sasa hutaki kujiaibisha na mimi nimedhamiria kukuaibisha humu Kukata mzizi wa fitina ?
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikuogopi hata, tunapiga game ngap?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikuogopi hata, tunapiga game ngap?
Ninamzuka sema nikupe code chap nikate mzizi wa fitina humu maana sitaki mazoea yazidi usikimbie leo.
 
Sikia basi, 6 kamil tunaanza mechi
Simu naazima kabisa ili isiishe chaji maana imebaki kumi asilimia sitaki izime bila kutoa dozi ya heshima tukatane saw 6 panapo majaaliwa .
 
Fene waambie mashabiki nani bingwa kwa leo halafu hii mechi ningetulia ilibidi upigwe tano
Screenshot_20220826_121826.jpg
 
Fene waambie mashabiki nani bingwa kwa leo halafu hii mechi ningetulia ilibidi upigwe tanoView attachment 2335299
Tutamtafsiri vip bingwa wakati nimekufunga, umenifunga

Halafu unasema ungetulia ungenifunga nying, sasa utatulia lin[emoji23][emoji23]

We shukuru tu ile dhahama yako itakayokufika bado ipo njiani
 
Rekodi mpya huu ndio ushindi mkubwa zaidi wa kapa(kwa sifuri) nadhani wewe umewahi kunifunga moja bila pekee.
Najua hii rekod ya ushind mkubwa unaitafuta kwa nguvu zote ila ndohivo tena[emoji23][emoji23]

Halafu subiri soon naivunja ile rekod yangu ya 3:1 natak niiwek mpya
 
Rekodi mpya huu ndio ushindi mkubwa zaidi wa kapa(kwa sifuri) nadhani wewe umewahi kunifunga moja bila pekee.
Jambo lingine ni kwamba kama ushawahi kusikia neno "comeback" katika ulimwengu wa soka na ukawa hujui maana yake, basi maana yake ndio hiyo hapo chini


Bila ya shaka huna historia hii mbele yangu
Screenshot_20220826-121049_1.jpg
 
Back
Top Bottom