Dream League Soccer Special Thread

Pia nimegundua kwenye ligi computer ikiazima mchezaji eg. Kane akachezea Man U basi kushinda hiyo mechi huwa ni ngumu sana. Cjui kwa wenzangu labda mie ni kibonde sana😀
sina uhakika sana ila ugumu wa game unatokana na ligi na uwezo wa timu
 
tafuta beki mzuri mwenye namba asilia 3 au 2 maana ndiko kwenye tatizo hili mfano hakimi harudi nyuma akicheza 2
 
tafuta beki mzuri mwenye namba asilia 3 au 2 maana ndiko kwenye tatizo hili mfano hakimi harudi nyuma akicheza 2
Backline yangu ndo hiyo mkuu, na kwenye sub hapo juu, na matip pia ninae je hawatoshi? Hakimi namuonaga ila nampuuziaga kumsajili naonaga kama kikosi kinatosha, nikimuona tena nitamsajili ila accomodation yangu ishajaa lazima nipunguze beki m1 sasa kwa uzoefu wako kati ya hao beki zangu yupi kilaza ampishe Hakimi?
 

Attachments

  • 43F4C000-1DE2-4192-B991-D90EC99E3444.png
    479.6 KB · Views: 6
Mi jana nimepiga mtu 5:0 GLOBAL CHALLENGE
Vibonde hawakosekanagi mzee. Na hata hizo timu ngumu ni zinasumbua tu ila kama kikosi chako imara zinakaa. Ila kuna muda huwa linapigwa mbungi mpaka najisemea kuwa leo computer imeamua isinipe ushindi hapo lazima ukae, Kila ukiweka zinagonga nginja tuu😄
 

Attachments

  • A6AEFBCE-AAE0-433C-8717-DF2EF6F83970.png
    407.8 KB · Views: 6
Fene DLS mpya 2023 nataka nianze rekodi zangu hapo nanua kila screenshots mbili za wewe kunifunga mimi kwa buku 5 Ofa hii ndani ya wiki moja..
 
Fene DLS mpya 2023 nataka nianze rekodi zangu hapo nanua kila screenshots mbili za wewe kunifunga mimi kwa buku 5 Ofa hii ndani ya wiki moja..
Mbona inazingua sana.live ni shida na friend match ni shida..hazifunguki
 
mendi sio mzur ila Anald yupo poa muongeze na Hakimi
 
Bado sijapata best AM James Rodriguez kasha fail najikuta namtumia Luca Modric tatizo mfupi mipira ya juu anakwama japo ni passer mzuri
 
Mkuu Frustration nimedownload Dls mwaka huu lakini nimeshangaa sijui ni ya tangu mwaka gani maana mesi yupo barca, hazard yupo Chelsea, Ronaldo yupo juve pia nimecheza level zote yaani wachezaji wakubwa wote nimenunua nahisi limekuwa rahisi nifanye nini maana nimeichukulia playstore je kuna namna yoyote ya ku upgrade?
 
Sijaupdate bado nikiupdate itaendelea hata ukiisha wiki iatahamia kwa mechi tano sharti ushinde .
Sawa, ila jua hii ni Newcastle nyingine ya mwaka 2023 iliyojipanga kwa mapinduzi kwenda kuzoa vikombe vyote kwa bwana Singasinga
 
Naombeni kuelekezwa jinsi ya kucheza online na mtu mwingine msaada wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…