Rekodi yangu ya 5 bila itaendelea kukutesa na hutoivunja abadaniMfamle wa huu uzi anayebisha she sasa hivi apate kichapo... View attachment 2462854
Fene nimemchapa kichapo cha kihistoria kuwahi kutokea jukwaani humuView attachment 2462857
Rekodi yangu ya 5 bila itaendelea kukutesa na hutoivunja abadani
Nb/
I mean 5 goal difference
Mfamle wa huu uzi anayebisha she sasa hivi apate kichapo... View attachment 2462854
Fene nimemchapa kichapo cha kihistoria kuwahi kutokea jukwaani humuView attachment 2462857
Umebaki unajivunia rekodi za DLS22 😂😂😂😂 leo nimekupiga 6 hii rekodi kubwa kwa both DLS22 na 23 hakuna kichapo heavy kama hiko.Rekodi yangu ya 5 bila itaendelea kukutesa na hutoivunja abadani
Nb/
I mean 5 goal difference
Weka code ..Haina shida aje tuu boss
Weka code ..
1020 chap mechi 1Weka mimi nisearch boss
1020 chap mechi 1
Pongezi sana nimeshaipata mrithi wangu humu ,tukutane siku nyingine panapo majaaliwa nimecheka san nowWeka mimi nisearch boss
Nilisema Moja coz najua nilivyochoka now ,kama vipi Kesho ukipata nafasi utanitag mda gani nilipize kisasi maana umemdhalilisha Master wa hilo jukwaa leo ,na huo ndio ushindi wako wa kwanza na mwisho sitoruhusu brand yangu ya Umaster ivurugwe humu#PongeziSanaTurudiee???
Nilisema Moja coz najua nilivyochoka now ,kama vipi Kesho ukipata nafasi utanitag mda gani nilipize kisasi maana umemdhalilisha Master wa hilo jukwaa leo ,na huo ndio ushindi wako wa kwanza na mwisho sitoruhusu brand yangu ya Umaster ivurugwe humu#PongeziSana
Nipe muongozo tafadhali masterMaster nimekuja nitakupa muongozo wa kiwajaza wachezaji na hata ukutane na wachezaji kama hao na wewe ukiwa na kikosi dhaifu ila ukiwa na mbinu zangu no easy sana kutubia kea yeyote yule kama mimi ninavyofanya.
Kwanza kwenye usajili wa wachezaji Ingia Sokoni ukiwa na at least kuanzia 2000 au 2500 coin hapo utapata mchezaji wa uhakika vilevile angalia mchezaji wachezaji ambao wanaowika Sokoni kwa sasa hao inakuwa rahisi hata ukintumia coach kufika power kuanzia 92% na kuendelea .Wakuu jana nimekutana mwamba anajiita Mamba Fc, jamaa kanichapa 4-1 ila tatizo Christiano Ronaldo wake alikuwa hakabiki, akachukua man of the match kumcheki stats zake kwenye shooting na passing ana 100%, hii inawezekana vp mbona mimi kila nikitumia "coaches" wangu mchezaji anafikia "breakthrough" mapema tuu kabla stats zake hazijafika 100%???
Haiwezekani hata ukiskip kwa wachezaji wa Academy huko mbele utapokea vichapo vikali ligi za chini zinasaidia kupata hela ya kujenga kikosi.Hakuna mfumo wa kuskip toka academy level mpaka ligi kubwa kwenye dream league?
Inapendeza humu jukwaani kila mtu akiniita aanze na Master kuanzia sasa sitacheza mechi na mtu yeyote akiniita bila kunipa heshima yangu ya Master humu ,inadibidi neno Master lianze kisha utaje jina langu au hata Master tupu inafaa maana humu hakuna shaka mimi ndio King na 🐐👑Nipe muongozo tafadhali master
Ww ulitumia muda gani kufika ligi za juuHaiwezekani hata ukiskip kwa wachezaji wa Academy huko mbele utapokea vichapo vikali ligi za chini zinasaidia kupata hela ya kujenga kikosi.
Inapendeza humu jukwaani kila mtu akiniita aanze na Master kuanzia sasa sitacheza mechi na mtu yeyote akiniita bila kunipa heshima yangu ya Master humu ,inadibidi neno Master lianze kisha utaje jina langu au hata Master tupu inafaa maana humu hakuna shaka mimi ndio King na [emoji238][emoji146]
cc Fene Singasinga