Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Rekodi yangu ya 5 bila itaendelea kukutesa na hutoivunja abadani

Nb/
I mean 5 goal difference
Umebaki unajivunia rekodi za DLS22 😂😂😂😂 leo nimekupiga 6 hii rekodi kubwa kwa both DLS22 na 23 hakuna kichapo heavy kama hiko.

Na hii 23 kunifunga sahau
 
Turudiee???
Nilisema Moja coz najua nilivyochoka now ,kama vipi Kesho ukipata nafasi utanitag mda gani nilipize kisasi maana umemdhalilisha Master wa hilo jukwaa leo ,na huo ndio ushindi wako wa kwanza na mwisho sitoruhusu brand yangu ya Umaster ivurugwe humu#PongeziSana
 
Nilisema Moja coz najua nilivyochoka now ,kama vipi Kesho ukipata nafasi utanitag mda gani nilipize kisasi maana umemdhalilisha Master wa hilo jukwaa leo ,na huo ndio ushindi wako wa kwanza na mwisho sitoruhusu brand yangu ya Umaster ivurugwe humu#PongeziSana

Haina shaka boss…kesho nayo siku
 
Master nimekuja nitakupa muongozo wa kiwajaza wachezaji na hata ukutane na wachezaji kama hao na wewe ukiwa na kikosi dhaifu ila ukiwa na mbinu zangu no easy sana kutubia kea yeyote yule kama mimi ninavyofanya.
Nipe muongozo tafadhali master
 
Hakuna mfumo wa kuskip toka academy level mpaka ligi kubwa kwenye dream league?
 
Wakuu jana nimekutana mwamba anajiita Mamba Fc, jamaa kanichapa 4-1 ila tatizo Christiano Ronaldo wake alikuwa hakabiki, akachukua man of the match kumcheki stats zake kwenye shooting na passing ana 100%, hii inawezekana vp mbona mimi kila nikitumia "coaches" wangu mchezaji anafikia "breakthrough" mapema tuu kabla stats zake hazijafika 100%???
Kwanza kwenye usajili wa wachezaji Ingia Sokoni ukiwa na at least kuanzia 2000 au 2500 coin hapo utapata mchezaji wa uhakika vilevile angalia mchezaji wachezaji ambao wanaowika Sokoni kwa sasa hao inakuwa rahisi hata ukintumia coach kufika power kuanzia 92% na kuendelea .

Ukisha kipata kikosi chako kamili kutokana na mfumo unaotumia sio lazima uwe na diamond 💎 kumjaza mchezaji maana ukitegemea diamond tupu itakuchukua muda mrefu cha kufanya wewe make hela ikifika kuanzia 2000 sajili mchezaji yeyote kisha mrelease upate coaches wakudelevelop kikosi chako.

Halafu kwenye kujaza kipaumbele kiwe Fitness hapo matokeo ya haraka utayaona uwanjani pambana wapate Fitness kwanza kisha tech baadae . Ukipata diamond tumia zikifika kuanzia 67 chini ya hapo usiutumie kocha wa 32 yule anaongeza power na skills kwa udogo sana.
 
Hakuna mfumo wa kuskip toka academy level mpaka ligi kubwa kwenye dream league?
Haiwezekani hata ukiskip kwa wachezaji wa Academy huko mbele utapokea vichapo vikali ligi za chini zinasaidia kupata hela ya kujenga kikosi.
 
Nipe muongozo tafadhali master
Inapendeza humu jukwaani kila mtu akiniita aanze na Master kuanzia sasa sitacheza mechi na mtu yeyote akiniita bila kunipa heshima yangu ya Master humu ,inadibidi neno Master lianze kisha utaje jina langu au hata Master tupu inafaa maana humu hakuna shaka mimi ndio King na 🐐👑

cc Fene Singasinga
 
Haiwezekani hata ukiskip kwa wachezaji wa Academy huko mbele utapokea vichapo vikali ligi za chini zinasaidia kupata hela ya kujenga kikosi.
Ww ulitumia muda gani kufika ligi za juu
 
Inapendeza humu jukwaani kila mtu akiniita aanze na Master kuanzia sasa sitacheza mechi na mtu yeyote akiniita bila kunipa heshima yangu ya Master humu ,inadibidi neno Master lianze kisha utaje jina langu au hata Master tupu inafaa maana humu hakuna shaka mimi ndio King na [emoji238][emoji146]

cc Fene Singasinga

Generate code tukakipige master….
 
Back
Top Bottom