Dream League Soccer Special Thread

Naomba mnielekeze bas jinsi ya kucheza online hivo na mtu mwngine
 
Naomba mnielekeze bas jinsi ya kucheza online hivo na mtu mwngine
Ukishaingia dls utakuta juu kabisa club yako, kati wameandika live bofya hapo, ukishaingia utakuta kwa juu wameandika friend match utagusa hapo, utaelekezwa uandike code ambayo itakuwa ndio uliyokubaliana na mpinzani wako nyote mtatakiwa musearch ktk mda mmoja
 

Master twende tukakipige online
 
Master twende tukakipige online
Huyo sio Master ukirudia tena kumuita hivyo nitakuremove humu tafadhali naomba heshima ifuate mkondo wake humu Master ni mmoja The King 👑 GOAT 🐐 The Great Conqueror adriz wengine matapeli tu.
 
Master twende tukakipige online
Unamuitaje Fene Master wkt leo mechi 3 nimemfunga zote kama ngoma na tokea DLS2 tumecheza mechi 7 nimemfunga 6 ushindi wake sare tu ? isitoshe nimemuahidi akishinda hata mechi Moja DLS 23 dhidi yangu najitoa Jf kwa siku 3, sitaki kabisa utani na viande
 

Sawa master leo saa 3-4 usiku nakuomba ulingoni
 
DLS 2023 Katika sehemu ya top scores haifunguki tafadhali anaejua setting yake anisaidie
 
Nipo ila master haupatikani nakuomba mechi kila siku haujubuu…
Master ni mimi tu humu, master gani huyo jana nimemvunja goli 4 na leo nitamtafuta tena

Master gani nilishamvunja hadi goli tano kwa sifuri ila hana hiastoria hiyo mbele yangu licha ya mechi likuki tulizocheza

Humu master ni mmoja tu ni Fene huyo adriz hamna jambo
 

Usiku kwenye saa 3-4 tukipige master
 
Sina historia kivipi ? goli 6 nimekupiga na ni kipigo kikubwa zaidi humu je unakataa hilo ? Ushahidi huo chini tena mwaka huu sio maneno matupu.

Eti jana umenifunga 4 sikatai lakini Nne kwa mbili sio kama udhalilishaji huu niliokufanyia tena sio mbali ndani ya mwaka huu huu .Ushahidi chini hapo

Jibu swali hili ukipatia jibu lake kuna zawadi nono swali lenyewe ni ;Tokea mwaka huu uanze tumecheza mechi ngapi umeshinda na umefungwa ngapi ? Usipojibu ni mechi 9 umeshinda 1 na kufungwa 7 Sare 1 ,sasa kwa rekodi hiyo bado hauni aibu kuja kutamba humu ?

Mwaka huu sitaki nifanye uzembe kwenye rekodi nina rekodi kila mechi tutakayocheza kwa hapa ....

Hiyo tano ni rekodi ya stone age Ronaldo bando yuko Man U, Messi hajachukua bado Kombe la Dunia ndio ya kujisifu? kama mwamba si urudie kama mimi nilivyorudia kukupiga 6 mwaka jana na mwaka huu halafu siringi kwa sababu mimi ndio The Master hiyo poor stonee age's record hata screenshot hauna
 
Usiku kwenye saa 3-4 tukipige master
Huyo Mr Kiande ndio wakucheza halafu kabla ya kumuita Master muulize kwanza mwaka huu amekutana na mimi mechi ngapi na ameshinda na kufungwa ngapi ? ukipata jibu changamua nani ni Master Of na nani ni Master Feki tapeli 😂😂😆😆

Fene mjibui swali hilo kijana Moja kuwa Moja bila kupepesa macho ..
 
Kama unazungumzia hiyo rekodi ya 5 ni Stone age basi tuangalie game ya mwisho kucheza na wew tumetokaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…