adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Twende kabla sijatoka humu , niQuote nijue kama upo niweke code.Master twende tukakipigee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende kabla sijatoka humu , niQuote nijue kama upo niweke code.Master twende tukakipigee
Twende kabla sijatoka humu , niQuote nijue kama upo niweke code.
Ukishaingia dls utakuta juu kabisa club yako, kati wameandika live bofya hapo, ukishaingia utakuta kwa juu wameandika friend match utagusa hapo, utaelekezwa uandike code ambayo itakuwa ndio uliyokubaliana na mpinzani wako nyote mtatakiwa musearch ktk mda mmojaNaomba mnielekeze bas jinsi ya kucheza online hivo na mtu mwngine
Ukishaingia dls utakuta juu kabisa club yako, kati wameandika live bofya hapo, ukishaingia utakuta kwa juu wameandika friend match utagusa hapo, utaelekezwa uandike code ambayo itakuwa ndio uliyokubaliana na mpinzani wako nyote mtatakiwa musearch ktk mda mmoja
Unamuitaje Fene Master wkt leo mechi 3 nimemfunga zote kama ngoma na tokea DLS2 tumecheza mechi 7 nimemfunga 6 ushindi wake sare tu ? isitoshe nimemuahidi akishinda hata mechi Moja DLS 23 dhidi yangu najitoa Jf kwa siku 3, sitaki kabisa utani na viandeMaster twende tukakipige online
Unamuitaje Fene Master wkt leo mechi 3 nimemfunga zote kama ngoma na tokea DLS2 tumecheza mechi 7 nimemfunga 6 ushindi wake sare tu ? isitoshe nimemuahidi akishinda hata mechi Moja DLS 23 dhidi yangu najitoa Jf kwa siku 3, sitaki kabisa utani na viande
Mwamba naipataje dls 23 apk mana naziona mtandaoni ila nahofia naeza download AFU ikawa sio ikala kwangu bora kwa mtu mwenye uhakika naeSawa master leo saa 3-4 usiku nakuomba ulingoni
Upo ?Nani yupo active tukapige online game mbili
Upo ?
Master ni mimi tu humu, master gani huyo jana nimemvunja goli 4 na leo nitamtafuta tenaNipo ila master haupatikani nakuomba mechi kila siku haujubuu…
Master ni mimi tu humu, master gani huyo jana nimemvunja goli 4 na leo nitamtafuta tena
Master gani nilishamvunja hadi goli tano kwa sifuri ila hana hiastoria hiyo mbele yangu licha ya mechi likuki tulizocheza
Humu master ni mmoja tu ni Fene huyo adriz hamna jambo
Sina historia kivipi ? goli 6 nimekupiga na ni kipigo kikubwa zaidi humu je unakataa hilo ? Ushahidi huo chini tena mwaka huu sio maneno matupu.Master ni mimi tu humu, master gani huyo jana nimemvunja goli 4 na leo nitamtafuta tena
Master gani nilishamvunja hadi goli tano kwa sifuri ila hana hiastoria hiyo mbele yangu licha ya mechi likuki tulizocheza
Humu master ni mmoja tu ni Fene huyo adriz hamna jambo
Huyo Mr Kiande ndio wakucheza halafu kabla ya kumuita Master muulize kwanza mwaka huu amekutana na mimi mechi ngapi na ameshinda na kufungwa ngapi ? ukipata jibu changamua nani ni Master Of na nani ni Master Feki tapeli 😂😂😆😆Usiku kwenye saa 3-4 tukipige master
Poa, takucheki hapaUsiku kwenye saa 3-4 tukipige master
Kama unazungumzia hiyo rekodi ya 5 ni Stone age basi tuangalie game ya mwisho kucheza na wew tumetokaje[emoji23][emoji23][emoji23]Sina historia kivipi ? goli 6 nimekupiga na ni kipigo kikubwa zaidi humu je unakataa hilo ? Ushahidi huo chini tena mwaka huu sio maneno matupu.View attachment 2470585
Eti jana umenifunga 4 sikatai lakini Nne kwa mbili sio kama udhalilishaji huu niliokufanyia tena sio mbali ndani ya mwaka huu huu .Ushahidi chini hapoView attachment 2470592
Jibu swali hili ukipatia jibu lake kuna zawadi nono swali lenyewe ni ;Tokea mwaka huu uanze tumecheza mechi ngapi umeshinda na umefungwa ngapi ? Usipojibu ni mechi 9 umeshinda 1 na kufungwa 7 Sare 1 ,sasa kwa rekodi hiyo bado hauni aibu kuja kutamba humu ?
Mwaka huu sitaki nifanye uzembe kwenye rekodi nina rekodi kila mechi tutakayocheza kwa hapa ....
Hiyo tano ni rekodi ya stone age Ronaldo bando yuko Man U, Messi hajachukua bado Kombe la Dunia ndio ya kujisifu? kama mwamba si urudie kama mimi nilivyorudia kukupiga 6 mwaka jana na mwaka huu halafu siringi kwa sababu mimi ndio The Master hiyo poor stonee age's record hata screenshot hauna