Leo panapo majaaliwa kuanzia saa 4 na nusu usiku nawakaribisha wote wewe ,Jbst ,Fene na wengine .Mtu akinifunga mechi tatu ndani ya siku Moja nampa cheo cha Umaster na kuvua Crown πππ yangu kumkabidhi yeye.Uzi umepoa sana. [mention]adriz [/mention] najua hutotaka kucheza na mimi. Humu ndani nahisi sijacheza na [mention]Fene [/mention] ..!! Siku ukiwa active naomba nicheki tupate challenges mpya mpya
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .Uzi umepoa sana. [mention]adriz [/mention] najua hutotaka kucheza na mimi. Humu ndani nahisi sijacheza na [mention]Fene [/mention] ..!! Siku ukiwa active naomba nicheki tupate challenges mpya mpya
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .
2025 chapBoss leta code tukakipige
Wewe jamaa comedy kweli kwani tumecheza mechi hizo tu kwa leo ? π π π
Embu Tuma code nioneKiti changu kiendelee kuheshimika, anaejiona yupo vizuri nipo tayar kwa doziView attachment 2481418
Kwahiyo wataka kusema, wew leo ni mshindiWewe jamaa comedy kweli kwani tumecheza mechi hizo tu kwa leo ? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona hauleti matokeo full kuwa tumecheza ngapi na umeshinda na kufungwa ngapi halafu nani aliyelombia baada ya kufungwa ?
966J gonga like ishara ya kuingia uwanjaniEmbu Tuma code nione
Master siku zote hakimbiii ,siku zote mpk kufikisha mechi 14 umeshinda 1 hakuna hata siku niliyokimbia kola siku wewe ndiye unasarenda ili kuwa Master lazima umsarendeshe mtu kama mwaka jana hadi mimi nikasema basi .Kiti changu kiendelee kuheshimika, anaejiona yupo vizuri nipo tayar kwa doziView attachment 2481418
Mimi ushindi wangu kabla ya leo mechi Nne au tatu unapigwa zote leo kwenye mechi 5 umeshinda 3 na kupigwa mbili unafurahia halafu unajiona Master ?Kwahiyo wataka kusema, wew leo ni mshindi
Maake kwanza nicheke[emoji23][emoji23]
Ndio maana nikasema wewe haufai sio Master kule umenikimbia kwa kudai inatosha halafu huku unataka kucheza na mtu !!966J gonga like ishara ya kuingia uwanjani