Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Acha maneno mengi ww
Weka muda na saa mabayo utakuwepo humu nije na wewe uwepo nikupige kama Ngedere aliyevamia shamba langu na kumaliza mazao yote.

Mwambie Fene akupe formula ya kunizuia mara alijitapa kwamba ana siri ya formation ya kunifunga.
 
Njo tukipige mda huu
 
Uzi umepoa sana. [mention]adriz [/mention] najua hutotaka kucheza na mimi. Humu ndani nahisi sijacheza na [mention]Fene [/mention] ..!! Siku ukiwa active naomba nicheki tupate challenges mpya mpya
 
Uzi umepoa sana. [mention]adriz [/mention] najua hutotaka kucheza na mimi. Humu ndani nahisi sijacheza na [mention]Fene [/mention] ..!! Siku ukiwa active naomba nicheki tupate challenges mpya mpya
Leo panapo majaaliwa kuanzia saa 4 na nusu usiku nawakaribisha wote wewe ,Jbst ,Fene na wengine .Mtu akinifunga mechi tatu ndani ya siku Moja nampa cheo cha Umaster na kuvua Crown 👑👑👑 yangu kumkabidhi yeye.
 
Uzi umepoa sana. [mention]adriz [/mention] najua hutotaka kucheza na mimi. Humu ndani nahisi sijacheza na [mention]Fene [/mention] ..!! Siku ukiwa active naomba nicheki tupate challenges mpya mpya
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .
 
Leo panapo majaaliwa kuanzia saa 4 na nusu usiku nawakaribisha wote wewe ,Jbst ,Fene na wengine .Mtu akinifunga mechi tatu ndani ya siku Moja nampa cheo cha Umaster na kuvua Crown [emoji146][emoji146][emoji146] yangu kumkabidhi yeye.

Tukutane uwanjani…
 
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .

Hahahahaa..!! Pamoja pamoja mzee, ni muda hata na hivyo hatujacheza. Naimani haitachukua muda mrefu tutakutana tena kwenye nyasi za kijani
 
Wewe humu ndiye mpinzani wa kweli unaweza kunipa challenge humu waliobaki hata wakusanyike wapeane mbinu nado sana kunifikia ,halafu nina kisasi na wewe kwa hiyo tukikutana tena sitakuwa na huruma kabisa na wewe .

Boss leta code tukakipige
 
Mfalme mwenyew rasmi nimerud wa huu uzi

It was just a matter of time

adriz njoo utoe ushuhuda hapa nimekufanyaje leo[emoji23][emoji23]
 
Hizi ni game 3 tofauti umevunjwa kama ngoma
Screenshot_20230114-230916_1.jpg
 
Kiti changu kiendelee kuheshimika, anaejiona yupo vizuri nipo tayar kwa dozi
Screenshot_20230114-224708_1.jpg
 
Wewe jamaa comedy kweli kwani tumecheza mechi hizo tu kwa leo ? [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mbona hauleti matokeo full kuwa tumecheza ngapi na umeshinda na kufungwa ngapi halafu nani aliyelombia baada ya kufungwa ?
Kwahiyo wataka kusema, wew leo ni mshindi

Maake kwanza nicheke[emoji23][emoji23]
 
Kiti changu kiendelee kuheshimika, anaejiona yupo vizuri nipo tayar kwa doziView attachment 2481418
Master siku zote hakimbiii ,siku zote mpk kufikisha mechi 14 umeshinda 1 hakuna hata siku niliyokimbia kola siku wewe ndiye unasarenda ili kuwa Master lazima umsarendeshe mtu kama mwaka jana hadi mimi nikasema basi .

Sasa leo umenizidi mechi moja kimahesqbu na kutoka nduki baada ya kufungwa utajiita Master ?
 
Kwahiyo wataka kusema, wew leo ni mshindi

Maake kwanza nicheke[emoji23][emoji23]
Mimi ushindi wangu kabla ya leo mechi Nne au tatu unapigwa zote leo kwenye mechi 5 umeshinda 3 na kupigwa mbili unafurahia halafu unajiona Master ?

Tena ushindi wako batili coz umekimbia baada ya kufungwa , na mechi home and away mtu anajitetea vizuri sasa wewe umekimbia wakati nakudai mechi moja hiyo ungenifunga ningesalimu amri ingekuwa umenipiga gape kubwa 4-2.
 
966J gonga like ishara ya kuingia uwanjani
Ndio maana nikasema wewe haufai sio Master kule umenikimbia kwa kudai inatosha halafu huku unataka kucheza na mtu !!

Ngoja niifute 👑👑 yangu iko mahali salama labda atapatikana mrithi humu baadae sio wewe muoga 😆😆😂😂
 
Back
Top Bottom