Dream League Soccer Special Thread

Mr Fene natumaini huko ulipo ushaanza kuota kitambi sasa nakuonya usijisahaulishe Master nakwenda kurekebisha simu yangu na kuja kuendeleza kutoa dozi pale nilipoishia .


Kumbukumbu za mwaka huu.
1.Siku ya mwisho gemu mechi 5 nimeshinda tatu huku ww ukishinda mbili.

2.Rekodi kubwa ya mechi 14 kushinda mechi 1

3.Kipigo kikali zaidi cha goli nyingi na Kapa(kwa sifuri)

 
Naona unatamba na za kale tu[emoji23][emoji23]

Mi nikileta zangu unapanic
 
Wwe hamna kitu, janjajanja tu nyingi
Mechi 14 vipigo tu vikali vimetawala na haujapata ushindi ni janjajanja ? anyway sitaki nimalize maneno sitocomment tena uzi huu mpaka nitakapo kuja kuleta screenshots za aibu baada ya kichapo nitakachokitembeza nitakapo rudi .

Ngoja The Great Master GOAT nitulie niache vitendo viongee. ee
 
Naona huu msimu uliuanza kwa moto ukachukulia tayar ushaniweza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…