Dream League Soccer Special Thread

Huyo jamaa alinikimbia ali cancel mechi baada ya kumpa kipigo cha nguvu, ndio maana nasema humu wote ni viande sijaona kabisa. Yaani humu mtihani nitakao wapa ni kuzuia nisifunge kuanzia goli 10 nisipo fikisha hizo goli basi wewe umeshinda
We jamaa acha uongo hatujawahi kucheza
 
Nishamtwanga fence uko na maroboti yake Yana 95
 
Attachments

  • Screenshot_20230224-232251.png
    612.4 KB · Views: 9
Huyo jamaa alinikimbia ali cancel mechi baada ya kumpa kipigo cha nguvu, ndio maana nasema humu wote ni viande sijaona kabisa. Yaani humu mtihani nitakao wapa ni kuzuia nisifunge kuanzia goli 10 nisipo fikisha hizo goli basi wewe umeshinda
Basi kijana wangu Fene ameniangusha sana ,hii comment ngoja niisevu utakuja kuilipia
 
Nishamtwanga fence uko na maroboti yake Yana 95
@Fene ana maroboti tupu hakuna anachokosa kikosini mwake lakini nado kiande, mimi ningekuwa kama yeye hata safe ingekuwa mwili kwangu.

Kongole sana kwao kumfundisha aadabu Fene sasa hivi nishamtoa kwenye top Elites wa huu uzi kwa kipingo hiko ukichompa cha aibu kabisa..
 
Ah madude yana 95
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…