Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
We jamaa acha uongo hatujawahi kuchezaHuyo jamaa alinikimbia ali cancel mechi baada ya kumpa kipigo cha nguvu, ndio maana nasema humu wote ni viande sijaona kabisa. Yaani humu mtihani nitakao wapa ni kuzuia nisifunge kuanzia goli 10 nisipo fikisha hizo goli basi wewe umeshinda